Nimeona nimrudishe huyu mke wa mama nyumbani, mnasemaje?

baptiste

Member
Aug 17, 2015
92
157
Mimi bwana ndugu zangu sijafurahishwa kabisa na kitendo cha
Mama kaniletea mke kutoka kijijini bila ridhaa yangu, nifanyeje?
pia nikaleta Mrejesho: Mama kaniletea mke bila ridhaa yangu Nilivutiwa nae tu zile siku za mwanzo sababu ya uroho ndio maana nikatembea nae na sio kwamba nampenda, sasa nashangaa hata nyinyi hapo kila ninapoleta malalamiko yangu hapa ya mnakua hamniungi mkono, mnalazimisha niendelee kuishi nae, nani kati yenu ameletewa mke wa kijijini na mzazi wake?

Sasa hivi vijana wenzangu kule nyumbani wananicheka kwamba nimeletewa mtumba, wanasema walimshangaa sana mama kwa kitendo chake cha kumbeba huyu binti hadi kwangu wakati wao wanajua wazi watu wengi pale kijijini wamejipumzisha na huyu binti tena wakulima, wao kama vijana wanajua vichochoro vya mabinti wote pale vilage ila mzazi hawezi kujua

Wadau mimi nimepata binti mwingine, anafanya kwenye hii kampuni mpya ya simu ya Vietnam, tumepatana ndani ya hizi wiki mbili, ni mtoto mkali mno, nyonyo ni kama bolibo, pia amefungasha sana, huyu wa mama nyonyo ni kubwa mno unaweza fikiri amezaa tayari.

Kwa kweli viwango vyake kwa mjini viko chini sana hasa tunapotoka out pamoja na wenzangu wenye wake zao pia, kiswahili chake tu ni balaa
Nimepanga nimrudishe huyu mke wa mama kijijini, ningependa kujua nitumie njia gani kumuomba mama radhi kuwa nimemshindwa huyu binti, maana nimeanza kuona dalili ambazo sio nzuri, anashinda anakula malimao na mapensheni kutwa mzima, sasa nataka niwawahishie huko kabla halijatibuka

Sasa sijui mlikua mnasemaje? Naomba uungaji mkono wenu
 
Ulipaswa umkatae pale pale on the spot et Hana hadhi umemnanga kweli dada WA watu wewe umekamilika wapi?? Hayo malimao anayokula umempeleka hospital?? Kueni na ubinadam bas!! Now a days hatuchagiliwi wenza WA kuish nao unless umesema nitaftien mke mwenye sifa kadha WA kadha je huyo ulomuona mzuri umesahau kua ukiona vinapendeza ujue vinagharamiwa??? We sema Tu hujampenda huyo dada WA kileji na sio kumtoa kashfa kibao na si lazima unapotoa Uzi kila mtu aungane nawe kila mtu Ana kichwa chake na mawazo yake.
 
Fanya kama alivyofanya mama yako, mpeleke nyumbani kwa mamaako umuachie hapo.
 
Mkuu ukiyafulia huna budi kuyaogea ndo basi tena komaa na mke wa mama hao wa kijijini ni wivu wao tu
 
Mimi bwana ndugu zangu sijafurahishwa kabisa na kitendo cha
Mama kaniletea mke kutoka kijijini bila ridhaa yangu, nifanyeje?
pia nikaleta Mrejesho: Mama kaniletea mke bila ridhaa yangu Nilivutiwa nae tu zile siku za mwanzo sababu ya uroho ndio maana nikatembea nae na sio kwamba nampenda, sasa nashangaa hata nyinyi hapo kila ninapoleta malalamiko yangu hapa ya mnakua hamniungi mkono, mnalazimisha niendelee kuishi nae, nani kati yenu ameletewa mke wa kijijini na mzazi wake?

Sasa hivi vijana wenzangu kule nyumbani wananicheka kwamba nimeletewa mtumba, wanasema walimshangaa sana mama kwa kitendo chake cha kumbeba huyu binti hadi kwangu wakati wao wanajua wazi watu wengi pale kijijini wamejipumzisha na huyu binti tena wakulima, wao kama vijana wanajua vichochoro vya mabinti wote pale vilage ila mzazi hawezi kujua

Wadau mimi nimepata binti mwingine, anafanya kwenye hii kampuni mpya ya simu ya Vietnam, tumepatana ndani ya hizi wiki mbili, ni mtoto mkali mno, nyonyo ni kama bolibo, pia amefungasha sana, huyu wa mama nyonyo ni kubwa mno unaweza fikiri amezaa tayari.

Kwa kweli viwango vyake kwa mjini viko chini sana hasa tunapotoka out pamoja na wenzangu wenye wake zao pia, kiswahili chake tu ni balaa
Nimepanga nimrudishe huyu mke wa mama kijijini, ningependa kujua nitumie njia gani kumuomba mama radhi kuwa nimemshindwa huyu binti, maana nimeanza kuona dalili ambazo sio nzuri, anashinda anakula malimao na mapensheni kutwa mzima, sasa nataka niwawahishie huko kabla halijatibuka

Sasa sijui mlikua mnasemaje? Naomba uungaji mkono wenu
Hovyooo, ooh anatoka kijijini, mbona mamako anakaa kijijini na huoni kinyaa, kuja mjini juzi Tu hapa unawapa watu tabu Kila siku
 
mpime mimba kwanza ... halafu huyo binti mpya uliyempata naye kachakazwa huko alikotoka ni balaaa... iala usijali we mpime mimba kama hana mimba mwambie mama kuwa huyu mke simtaki
 
Too late hiyo. Baki na mkeo tu huna namna. Kisa umejua alikuwa daraja huko kijijini ndo humtaki leo. Hulipaswa kumkataa toka siku ya kwanza sio Leo,
 
Watu wengine bana wanakera sana. Hivi huoni kuwa unamdhalilisha binadamu mwenzio? Haya umba wakwako umwoe.
 
Yesu alishasema. Yeye aliyeshika mbegu kwa ajili ya kupanda akageuka na kuangalia nyuma hafai (kwa kazi za ufalme wa Mungu). Ukianza kuangalia ya nyuma hutakaa uoe. Maadam mtoto kakubali kuishi na wewe at your terms and condition, we ishi naye tu... Na inavyoonekana umeshamtia mimba. Sasa iweje umtie mimba wakati huna uhakia na upendo wako kwake? Embu kuwa matured uendelee na maisha yako...
 
Nakushauri umuoe tu huyo mke wa mama maana kila kitu kinaendaga kwa hatua, taratibu tu na yeye atafikia kwa 'level' ya wa mjini vile walivyo na unavyotaka awe maadam umemuoa.
 
Duuuh toka kipindi kile ndio unataka kumrudisha sasa hivi?

Umemnjunja mdada wa watu mpaka umeona basi, ulipokuwa unamfunua ulimuona anafaa

Eti wa kijijini, wakati wewe mwenyewe umekuja mjini juzi ukashukia ubungo afadhali ungekuwa ulishukiaga kisutu
 
Back
Top Bottom