Nimeona nimrudishe huyu mke wa mama nyumbani, mnasemaje?

Nimeona nimrudishe huyu mke wa mama nyumbani, mnasemaje?

kwani anakula malimao mangapi kwa siku?? acha kumnunulia malimao ,ataondoka mwenyewe au kama akikomaa ,muingize ndani wa haloteli na huyo awe housegirl...ikishindikana kabisa nipm namba yake nimchomekee ili nisababishe vurumai
 
we mrudishe kwa staili aliyomleta nayo mama
 
Wakuja utawajua tuu hata "nyuzi" zao,.born here here huwa hatusumbui namna hii jamani looh!!!..,

Ushamba mzigo jamanii hebu tumsamehe bure tuu huyu muumini
 
Hizo nyonyo zita expire badala ya bolibo zitakuwa ndala.......

Waulize wanaume kama wanaoa mwonekano.
 
Hivi unaikumbuka ile nyimbo ya muheshimiwa jay wa mitulinga
 
Huna haya umemfanya mke kwa kipindi chote leo.unakuja na hadithi za kishamba........unatofauti gani na hao waliomtumia kijijini huyo unayemwona wamaana wangapi wamemwona na ametumika ingekuwa kifuto kisingekuwepo pole
 
51116330.jpg
 
Nilikuwepo baadavya kubahatika kuufungua huu uzi.....

Kwaherini
 
Jaman c ulisema huyo wa kijijin kiuno feni saiv hutak tena kiuno??
 
sifa kubwa ya mwanaumeni kuwa na msimamo kwanini ulishindwa kuweka wazi msimamo wako toka mwanzo huyo ndiokeshakuwa mke wako
 
Back
Top Bottom