Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 714
- 1,529
Mabadiliko ni makubwa sana kuanzia Maisha yangu ya nje mpaka kiroho, maswala ya tamaa ya mwili kwangu ni kama nimeshinda.Unajikia vp mkuu
Inshort najisikia vizuri sana kuliko nilivyokua kabla.