Nimeona nguvu ya uchawi na mungu

Nimeona nguvu ya uchawi na mungu

UGORO87

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
824
Reaction score
383
Wakuu kwa mara nyngi nilikuwa naamini uchawi km vitu vya nadharia ktk uwepo wake,japo naenda kanisani kusali imani yangu kwa MUNGU ilikuwa haipo kabisa naenda km wajibu niliyokuta na ustarabu niliyorithi kutoka kw wazazi wangu najamii iliyonizunguka.Hvi majuzi mtoto wangu alikuwa anaumwa mapele yaliyomtoka mwili mzma,nikampeleka hospital wakampa dawa,hakupata hata nafuu,chakushangaza kuna dada aliniambia hyo mtoto wako amelogwa,akasema kwakwetu iringa lazima uhangaike kw waganga cjui kwa kwenu huku,nikampuuza,hali ya mtoto ikazidi kuwa mbaya,nikamrudisha hospital akapata nafuu ikabidi nimwone mchungaji akaniambia mtoto wako amechezewa na wachawi,km huamini atapata unafuu lakini ugonjwa utamrudia,ikawa hvyo kweli.ndipo nilipomwomba amwombee,akamwombea,mtoto cku ya pili yake mapele yote yamekauka. NASHUKURU SNA MUNGU NI MKUU MILELE YOTE
 
mwambia Mungu asante hawa waganga hawa nguvu kuliko Mungu
 
Hebu tusaidie kumwambia huyo mchungaji afanye maombi ili tuwadhibiti waganga na wachawi wanaologa hili taifa kwani sasa hivi tunaelekea kuwa misukule ya kichina hatuna viwanda.Munngu awatie nguvu
 
Back
Top Bottom