Wakuu kwa mara nyngi nilikuwa naamini uchawi km vitu vya nadharia ktk uwepo wake,japo naenda kanisani kusali imani yangu kwa MUNGU ilikuwa haipo kabisa naenda km wajibu niliyokuta na ustarabu niliyorithi kutoka kw wazazi wangu najamii iliyonizunguka.Hvi majuzi mtoto wangu alikuwa anaumwa mapele yaliyomtoka mwili mzma,nikampeleka hospital wakampa dawa,hakupata hata nafuu,chakushangaza kuna dada aliniambia hyo mtoto wako amelogwa,akasema kwakwetu iringa lazima uhangaike kw waganga cjui kwa kwenu huku,nikampuuza,hali ya mtoto ikazidi kuwa mbaya,nikamrudisha hospital akapata nafuu ikabidi nimwone mchungaji akaniambia mtoto wako amechezewa na wachawi,km huamini atapata unafuu lakini ugonjwa utamrudia,ikawa hvyo kweli.ndipo nilipomwomba amwombee,akamwombea,mtoto cku ya pili yake mapele yote yamekauka.MUNGU NI MKUU