Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Kinachokuuma ni nini? Au ulitaka avae kimini na bichwa lote wazi ndio ufurahi!Wanafunzi wa kike wanaruhusiwa kuvaa burqa(ninja) mashuleni?
Nimeona mwanafunzi wa kike kama wa kidato cha pili amevaa burqa(ninja) anaenda shule nikashaangaa sana.
Ukiacha kuwa ni mwanafunzi kwa nini watoto wadogo wavalishwe burqa? Nani mwenye akili timamu anaweza kuwatamani watoto wadogo?