Nimeona maajabu leo Ngorongoro

Nimeona maajabu leo Ngorongoro

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Nawafahamu wamaasai kipindi kirefu ingawa siyo sana.

Nimeishi hapa Karatu vipindi tofauti tofauti hasa kule Mang'ola kwenye wakulima wengi wa vitunguu.

Sijawahi kujua kuwa wamaasai ni wapenzi wa siasa za upinzani hapa Tanzania .

Nimeshuhudia leo hapa Ngorongoro na hakika sikuamini maana ni mara yangu ya kwanza kuona hili jambo.

Hii ni rekodi mpya kwangu na daima irabakia maishani mwangu.

Leo wamaasai wameimba nyimbo nyingi sana na kusali na kuimba nyimbo za kanisani kwangu mimi ni maajabu.

Tuwape nafasi wanaweza kuongeza chachu kwenye vyama vya upinzani.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom