hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,041
- 3,849
Asee
Atawapigaje chini wakati anaona ushauri wao unamsaidia kubaki madarakani?Kweli huyu mama atamuweza Lisu kweli hali mwamba na ubabe wake alifeli.
Alianza vizuri anamaliza vibaya mbinu hizi zilishapitwa na wakati huwezi wasilence watu kwa dictatorship hata kama anaingizwa chaka na wapinzani wake ye Hana macho.
Huyo anaekushauri vibaya si upige chini.
Yuko ndani wewe unajisemesha haiwezekani?Kikwete ni kama anamshangaa leo Samia hasa aliposema Tanzania sio shamba la bibi!
Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani?
Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza.
Lakini Kikwete hakuwa na matatizo ya utekaji kwa kiasi hiki, matatizo ya kutokupendwa kwa kiasi hiki na matatizo ya Haki na chaguzi kwa kiasi hiki.
Mitandao imefungua watu na Mama anafikiri kuna mipaka kama zamani! Huwezi kufanya ujinga ujinga kama zamani
Kikwete ni mnafiki sana kamuingiza kwenye haya matatizo halafu ana mwangalia kama kwa pembeni kama hamjui
Amezungukwa na fisi wengi jua likizama atawaonaAtawapigaje chini wakati anaona ushauri wao unamsaidia kubaki madarakani?
Hapo sasa!Amezungukwa na fisi wengi jua likizama atawaona
Unamaanisha bwana wako kama bwana wako au Masihi?!!!Utapata majibu wakati wa Bwana u karibu
Hapo ukiambiwa ueleze Wakenya walikuwa wanakuja kufanya siasa gani kwa kuhudhuria kwao mahakamani utabaki unarukaruka tu.Umeshageuka Kikwete sasa. Ilimradi uoneshe unamchukia Rais.
Rais yupo sahihi, Tanzania sio uwanja wa kufanyia siasa maji taka za Kenya. Commercial activists kutoka Kenya hawataruhusiwa kufanya uhuni wao Tanzania.
Mimi nimeishia hapaKikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani?
SikumbukiHivi Ile kauli ya " usipowasikiliza wazee nchi haitatawalika" aliisema nani vile?
Hawana pointi yoyote zaidi ya uchawa tu.Hapo ukiambiwa ueleze Wakenya walikuwa wanakuja kufanya siasa gani kwa kuhudhuria kwao mahakamani utabaki unarukaruka tu.
Kuokoa Maisha si udhaifu,tambua hilo!We nenda kaharishe huyo uvundo akili ikurudi. Kilichomfanya akimbie nchi tena kupitia ubalozi wa Ujerumani ni nini? We una udumavu wa akili.
Kwa hiyo kauli aliyotoa Mkuu jibu toshaHawana pointi yoyote zaidi ya uchawa tu.
Jaji Munga alisema walipowauliza Askari Airport wamewakamata kwa sababu gani, Maafisa walijibu kuna changamoto tunasubiri maelekezo kutoka juu.
Sijajua kama ndivyo au la. Ngoja tuone mwisho wakeKwa hiyo kauli aliyotoa Mkuu jibu tosha
Kwani yule jiwe yupo wapi? Hata sasa parapanda I karibuWe nenda kaharishe huyo uvundo akili ikurudi. Kilichomfanya akimbie nchi tena kupitia ubalozi wa Ujerumani ni nini? We una udumavu wa akili.
Mitandao anaifahamu?Mitandao imefungua watu na Mama anafikiri kuna mipaka kama zamani!
Huyo Kikwete ndio mshauri wake.Kikwete ni kama anamshangaa leo Samia hasa aliposema Tanzania sio shamba la bibi!