Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,003
- 7,317
Hata mandera aliwekwa ndani, lete ushahidi mahakamani muone kama mnamwezaYuko ndani wewe unajisemesha haiwezekani?
Endeleeni kushangaa myashangazwa sana.
Hata mandera aliwekwa ndani, lete ushahidi mahakamani muone kama mnamwezaYuko ndani wewe unajisemesha haiwezekani?
Endeleeni kushangaa myashangazwa sana.
Sasa kwani kesi Iko wapi kama sio mahakamani?Hata mandera aliwekwa ndani, lete ushahidi mahakamani muone kama mnamweza
Choice variable wewe unafurahi mtanzania kukaa jela?Sasa kwani kesi Iko wapi kama sio mahakamani?
Hapo ndio patamu akae jela mda sawa na WA Mandela
Mtu kama Lisu asiye na staha ya mdomo akikaa jela Kuna shida gani?Choice variable wewe unafurahi mtanzania kukaa jela?
😀😀Mtu kama Lisu asiye na staha ya mdomo akikaa jela Kuna shida gani?
Shida ni staha au kuvunja sheria?Mtu kama Lisu asiye na staha ya mdomo akikaa jela Kuna shida gani?
Kikwete ni kama anamshangaa leo Samia hasa aliposema Tanzania sio shamba la bibi!
Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani?
Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza.
Lakini Kikwete hakuwa na matatizo ya utekaji kwa kiasi hiki, matatizo ya kutokupendwa kwa kiasi hiki na matatizo ya Haki na chaguzi kwa kiasi hiki.
Mitandao imefungua watu na Mama anafikiri kuna mipaka kama zamani! Huwezi kufanya ujinga ujinga kama zamani
Kikwete ni mnafiki sana kamuingiza kwenye haya matatizo halafu ana mwangalia kama kwa pembeni kama hamjui
Hakuna sheria iliyovunjwa,kwani mashtaka yake anasingiwa au alitamka? Nikusikilizishe? Unajitoa ufahamu si ndio?Shida ni staha au kuvunja sheria?
Ngoja tusubirie maamuzi ya Mahakama ndio yenye mamlaka hayoHakuna sheria iliyovunjwa,kwani mashtaka yake anasingiwa au alitamka? Nikusikilizishe? Unajitoa ufahamu si ndio?
Hilo.ndio jambo la msingi.Ujue nyie Chadomo ni wajinga sana.Ngoja tusubirie maamuzi ya Mahakama ndio yenye mamlaka hayo
Dunia inatushangaa kua inakuaje tunamshabikia mtu anae amani kwenye vurugu ,uasi na uhaini ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa? KUNA MAAJABU KWELIKikwete ni kama anamshangaa leo Samia hasa aliposema Tanzania sio shamba la bibi!
Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani?
Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza.
Lakini Kikwete hakuwa na matatizo ya utekaji kwa kiasi hiki, matatizo ya kutokupendwa kwa kiasi hiki na matatizo ya Haki na chaguzi kwa kiasi hiki.
Mitandao imefungua watu na Mama anafikiri kuna mipaka kama zamani! Huwezi kufanya ujinga ujinga kama zamani
Kikwete ni mnafiki sana kamuingiza kwenye haya matatizo halafu ana mwangalia kama kwa pembeni kama hamjui
Acha kumtukana mama mbuzi wewe. MAMA SAMIA@2025-2030Mwanamk..
Ile dini....
Alikozaliwa....
Ongezea mawazo ya JK
Yule bibi hafai na hauziki