My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Ni huo tu mkuu sina zaidiMkuu ulimwengu wako wa roho Ni ccm na chadema tuu???
Sasa Mkuu Pascal Mayalla hivi umewezaje kutambua tofauti ya Roho na liroho?Kwenye ulimwengu wa roho, kuna Roho, na liroho au maroho!. Roho ni moja tuu, ni omnipotent, omniscience na omnipresence, ni liroho ni mengi,
The dividing line between Roho na liroho is very thin, ili uweze kutofautisha Roho na liroho, ni lazima uwe umejaaliwa neema ya utambuzi, niki alichokisema huyu mleta mada ni liroho tuu!, nothing will happen!.
P
Mkuu Mystery, kama nilivyoeleza, the dividing line between Mungu na shetani is very thin, na kuna wengi wanaabudu wakidhani wanamwabudu Mungu kumbe ni wanamwabudu Mungu!.Sasa Mkuu Pascal Mayalla hivi umewezaje kutambua tofauti ya Roho na liroho?
Ina maana maneno ya mtoa mada ni sawa na kupiga ramli chonganishi?Kwenye ulimwengu wa roho, kuna Roho, na liroho au maroho!. Roho ni moja tuu, ni omnipotent, omniscience na omnipresence, ni liroho ni mengi,
The dividing line between Roho na liroho is very thin, ili uweze kutofautisha Roho na liroho, ni lazima uwe umejaaliwa neema ya utambuzi, niki alichokisema huyu mleta mada ni liroho tuu!, nothing will happen!.
P
Nami naona haya majibu uliyotoa kwa ulimwengu wangu wa roho nimeona ni LIROHO tuu limekutuma, alichosema mleta mada ni kutoka roho wa kweliKwenye ulimwengu wa roho, kuna Roho, na liroho au maroho!. Roho ni moja tuu, ni omnipotent, omniscience na omnipresence, ni liroho ni mengi,
The dividing line between Roho na liroho is very thin, ili uweze kutofautisha Roho na liroho, ni lazima uwe umejaaliwa neema ya utambuzi, niki alichokisema huyu mleta mada ni liroho tuu!, nothing will happen!.
P
ulimwengu wa rohoWakuu mjumbe hauawi, naleta ujumbe Kama nilivyouona ktk ulimwengu wa Roho
1.Jiwe hataachia madaraka hata muda ukiisha
2.CHADEMA itachukua dola baada ya jiwe kutolewa balu na nguvu ya umma
3.Watu wengi hasa wanaharakati na wanasiasa watapotea huu mwaka
4.Kigogo2014 ataponza wengi mno miongoni mwa MATAGA
5.CHADEMA ikichukua dola Kigogo 2014 ataibuka wote wamjue na hakika hawataamini
Huu ni ulimwengu wa uhuru wa kujieleza (freedom of expression) sio wa Roho. Ulimwengu wa roho huambatana na imani ya kidini, kama wewe ni wa imani tofauti na dini yangu basi ulimwengu wako wa roho si kitu bali ujinga.Wakuu mjumbe hauawi, naleta ujumbe Kama nilivyouona ktk ulimwengu wa Roho
1.Jiwe hataachia madaraka hata muda ukiisha
2.CHADEMA itachukua dola baada ya jiwe kutolewa balu na nguvu ya umma
3.Watu wengi hasa wanaharakati na wanasiasa watapotea huu mwaka
4.Kigogo2014 ataponza wengi mno miongoni mwa MATAGA
5.CHADEMA ikichukua dola Kigogo 2014 ataibuka wote wamjue na hakika hawataamini
Ina maana maneno ya mtoa mada ni sawa na kupiga ramli chonganishi?
Umemaiiiiindi sio!Kwenye ulimwengu wa roho, kuna Roho, na liroho au maroho!. Roho ni moja tuu, ni omnipotent, omniscience na omnipresence, ni liroho ni mengi,
The dividing line between Roho na liroho is very thin, ili uweze kutofautisha Roho na liroho, ni lazima uwe umejaaliwa neema ya utambuzi, niki alichokisema huyu mleta mada ni liroho tuu!, nothing will happen!.
P
Ulimwengu wa roho si wa hovyohovyo kama uzanivyo mkuu,
Wewe ni mnywa pombe, mzinzi, muongo, mwizi, msengenyaji, unawazia watu mabaya, eti uoneshwe vitu ktk ulimwengu wa roho,
Kwa vile ulimwengu wa roho upo wa Aina mbili, hapo Sawa, Endelea Kuota mkuu