Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,968
Tehetehetehe atakomaje? ndio dawa yao hawa.Halafu wanapenda mboga za majani, wanakuchanganyia na niaje kidogo kwenye mboga, unakua hubanduki home ha haaa ukitoka job hom au unaacha kabisa.
Tehetehetehe atakomaje? ndio dawa yao hawa.Halafu wanapenda mboga za majani, wanakuchanganyia na niaje kidogo kwenye mboga, unakua hubanduki home ha haaa ukitoka job hom au unaacha kabisa.
jiko la mchina, umeme, kuni, mkaa au gesi?
but seriously hongera sana, natu mai umemchunguza na kumjua vya kutosha, muwe na mafanikio mema, upande wa utaratibu inabidi utafute mshenga mnyamwezi (awe anajua taratibu za kinyamwezi, si washenga wa kuchonga hawa wa siku hizi) atakuelekeza cha kufanya...
Karibu sana. Tuliho.Asante sana Ennie na wote mlionipa maujanja, Nimepeleka posa imepita bila kupingwa na mahari tumeshapangiwa tutaitwa rasmi kumalizia ushindi wa kishindo, Wanyamwezi ni wakarimu sana na hawana makuu a.k.a longolongo. Wanyamwezi mtakuwa Shemeji zangu nawapenda!!
Wadau kwa heshima na taadhima nawapa salamu!
Katika pitapita zangu nimeona Jiko linalonifaa kwa Wanyamwezi, tafadhali anayefahamu taratibu za kupata Jiko kwa Wanyamwezi anipe ujuzi ili nijitokeze kwao.
Natanguliza shukrani zangu za dhati!!!
Kama ni jiko la mkaa lililotengenezwa na mnyamwezi, unaweza ukalipata kwa sh. 5000 tu.Wadau kwa heshima na taadhima nawapa salamu!
Katika pitapita zangu nimeona Jiko linalonifaa kwa Wanyamwezi, tafadhali anayefahamu taratibu za kupata Jiko kwa Wanyamwezi anipe ujuzi ili nijitokeze kwao.
Natanguliza shukrani zangu za dhati!!!
Mhh Ruta?kumbuka si kila king'aacho ni dhahabu..........na la msingi ni kuwa......................................alamskiki si matusi......................usidhani hisia zako zinamgusa huyo mdada.........................never take life for granted..............