Nimeona gorikipa Goalkeeper Yakoub Suleiman akienda simba imenipa mwaswali magumu sana

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,602
Reaction score
1,864
Sijui niseme tatizo ni uongozi unaosimamia huyu kijana,

Au niseme ni tamaa ya fedha,

Au sijui dogo kapenda kwenda kwenye timu kubwa,

Sijui timu yenyewe ya JKT ndio hawajielewi.

Kiufupi huyu kijana kafanya makosa makubwa sana,
Tena haya makosa yamejirudia ndani ya mwaka huu rejea mkasa wa (Clementi mzize na Sulemani mwalimu).

Tunahitaji kweli wachezaji wakubwa katika ligi yetu ila kwa hawa vijana wanaoufanya ni utoto.

Yakoub Suleiman hakupaswa kuichezea Simba timu ambayo yeye akienda anaenda kuwa kipa namba 2. Maana Camara anaufalme wake pale msimbazi.

Huyu kijana anapaswa kwenda kwenye timu ambayo inauhaba na magolikipa na aingie kwenye kikosi cha kwanza sio benchi.

Nimeona kulikuwa na ofa nyingi kutoka nje ya nchi japo hazikuwa za timu kubwa.

Je nini kipi kinawakumba vijana wetu mpaka wanashindwa kufanya maamuzi sahihi?

Moyo wangu ulisononeka sana wakati MZIZE anafanya maamuzi ya kubaki YANGA. Kabla moyo wangu haujapoa huyu mjinga nae anaenda Simba, sijakaa sawa Sulemani nae anarudi nyumbani, Fei nae kawazimia simu KAIZER.

Itoshe kusema kuwa wachezaji wa TANZANIA akili hawana.

Yaani sijakuelewa tu, mwanzo umeanza kwa kunipinga afu mwisho umekuja kuungana na mimi, au umelewa broo?

Hoja ni kuwa kwanini wachezaji wa kitanzania hawapendi kutoka nje ya nchi na wanapambana kubaki how?

MZIZE kagoma kwenda TUNISIA
MWALIMU kakimbia WYDAD
FEI kawazimia simu watu wa SOUTH AFRIKA tena walimtamani kipindi tumeenda kule kucheza na bafanabafana.
Je shida zao ni nini?
 
Akipambana mazoezini atamshawishi mwalimu aingie first 11
Comfort zone sio nzuri kwenye maisha, laZima tusake changamoto ili tukuwe.
Simba patampa exposure hata kwenye training tu, kufanya mazoezi Simba au Yanga laZima upate kitu.
Usiogope changamoto pambana ukiambiwa Congo Kuna fursa nenda, safari hata Kwa ugumu nenda mataifa usiyoyajua kupata changamoto mpya
 
Lakini he has a family to feed pia na mkumbuke wachezaji wa kitanzania kukaa kwenye peak miaka miwili tu ni mtihani yupo wapi
Dickson Ambundo
Balama Mapinduzi
Abdulrahman Guti
George Mpole

Secure the bag tu mamaye
Mhhh
 
Maisha ya mtu usiyaingilie achana nayo vijana wa kitanzania mupo VP munapenda sana kufatilia mamb ya watu waacheni na maisha yao eeeeeeeh ..........
 
Sijui niseme tatizo ni uongozi unaosimamia huyu kijana,

Au niseme ni tamaa ya fedha,

Au sijui dogo kapenda kwenda kwenye timu kubwa,

Sijui timu yenyewe ya JKT ndio hawajielewi.

Kiufupi huyu kijana kafanya makosa makubwa sana,
Tena haya makosa yamejirudia ndani ya mwaka huu rejea mkasa wa (Clementi mzize na Sulemani mwalimu).

Tunahitaji kweli wachezaji wakubwa katika ligi yetu ila kwa hawa vijana wanaoufanya ni utoto.

Yakoub Suleiman hakupaswa kuichezea Simba timu ambayo yeye akienda anaenda kuwa kipa namba 2. Maana Camara anaufalme wake pale msimbazi.

Huyu kijana anapaswa kwenda kwenye timu ambayo inauhaba na magolikipa na aingie kwenye kikosi cha kwanza sio benchi.

Nimeona kulikuwa na ofa nyingi kutoka nje ya nchi japo hazikuwa za timu kubwa.

Je nini kipi kinawakumba vijana wetu mpaka wanashindwa kufanya maamuzi sahihi?

Moyo wangu ulisononeka sana wakati MZIZE anafanya maamuzi ya kubaki YANGA. Kabla moyo wangu haujapoa huyu mjinga nae anaenda Simba, sijakaa sawa Sulemani nae anarudi nyumbani, Fei nae kawazimia simu KAIZER.

Itoshe kusema kuwa wachezaji wa TANZANIA akili hawana.
Kwanza sio gorikipa ni golikipa,pia fahamu kuwa mchezaji mwenyewe ndio ameba kuondoka na ukumbuke jkt walishamlipa fedha za kuongeza kandarasi nyingine,hivyo simba wamelipa kila kitu kwa mujibu wa matakwa ya jkt,hivyo tuwatakie nangu na yacoub kila la kheri
 
Yaani sijakuelewa tu, mwanzo umeanza kwa kunipinga afu mwisho umekuja kuungana na mimi, au umelewa broo?

Hoja ni kuwa kwanini wachezaji wa kitanzania hawapendi kutoka nje ya nchi na wanapambana kubaki how?

MZIZE kagoma kwenda TUNISIA
MWALIMU kakimbia WYDAD
FEI kawazimia simu watu wa SOUTH AFRIKA tena walimtamani kipindi tumeenda kule kucheza na bafanabafana.
Je shida zao ni nini?
Mzize hajakataa kwenda Tunisia
Mzize ameongezewa mshahara Sasa atalipwa 44, mkataba huu mpya una ofa ya ubalozi wa bidhaa za GSM n.k akiunganisha pesa zote zinafika zile ambazo angeenda Tunia
 
Huko alipo analipwa kiasi gani na simba watampa dau kiasi gani ?

Kumbuka ni bora zaidi na faida zaidi kucheza kuliko kukaa mkeka ila kumbuka pia mpira ni short career ni vigumu sana kucheza consistently zaidi ya miaka kumi; hivyo ukipewa DAU ambalo angalau litakufanya upate needs zako na wants it is worth considering...
 
Mzize hajakataa kwenda Tunisia
Mzize ameongezewa mshahara Sasa atalipwa 44, mkataba huu mpya una ofa ya ubalozi wa bidhaa za GSM n.k akiunganisha pesa zote zinafika zile ambazo angeenda Tunia
Mzinze hajaongeza mkataba msemaji wa team kaeleza hizi taarifa unazitoa wapi?
 
Mzize hajakataa kwenda Tunisia
Mzize ameongezewa mshahara Sasa atalipwa 44, mkataba huu mpya una ofa ya ubalozi wa bidhaa za GSM n.k akiunganisha pesa zote zinafika zile ambazo angeenda Tunia
mkuu sielewagi mambo
44m ni mshahara anaopata kwa mwezi?
 
Hapa kwetu hapalipi kwani au ndo kukariri nje ni bora kuliko ndani kwako.

Kwa namna ulivyoandika unamaanisha jamaa wanaogopa kucheza nje ya Bongo,kitu ambacho sio kweli naamini wanaangalia mambo mengi ikiwemo maslahi.
Inabidi ujue Bongo pameshastawi kimpira,kingine huwezi kuwa na malengo makubwa kimpira alafu unauzia washindani wako wachezaji na uwezo wa kuwabakisha unao,wanabakishwa timu ifanye vizuri ili chapa iuzike zaidi
 
Sijui niseme tatizo ni uongozi unaosimamia huyu kijana,

Au niseme ni tamaa ya fedha,

Au sijui dogo kapenda kwenda kwenye timu kubwa,

Sijui timu yenyewe ya JKT ndio hawajielewi.

Kiufupi huyu kijana kafanya makosa makubwa sana,
Tena haya makosa yamejirudia ndani ya mwaka huu rejea mkasa wa (Clementi mzize na Sulemani mwalimu).

Tunahitaji kweli wachezaji wakubwa katika ligi yetu ila kwa hawa vijana wanaoufanya ni utoto.

Yakoub Suleiman hakupaswa kuichezea Simba timu ambayo yeye akienda anaenda kuwa kipa namba 2. Maana Camara anaufalme wake pale msimbazi.

Huyu kijana anapaswa kwenda kwenye timu ambayo inauhaba na magolikipa na aingie kwenye kikosi cha kwanza sio benchi.

Nimeona kulikuwa na ofa nyingi kutoka nje ya nchi japo hazikuwa za timu kubwa.

Je nini kipi kinawakumba vijana wetu mpaka wanashindwa kufanya maamuzi sahihi?

Moyo wangu ulisononeka sana wakati MZIZE anafanya maamuzi ya kubaki YANGA. Kabla moyo wangu haujapoa huyu mjinga nae anaenda Simba, sijakaa sawa Sulemani nae anarudi nyumbani, Fei nae kawazimia simu KAIZER.

Itoshe kusema kuwa wachezaji wa TANZANIA akili hawana.
Nadhani kabla haujamlaumu ungejua kwanza terms za mkataba wake. Inawezekana kwa profile aliyoijenga kwa muda mfupi, labda amehakikishiwa idadi kadhaa ya mechi.

Pia inawezekana Simba wanamuona kama kipa ambaye anaweza kuja kuchukua moja kwa moja nafasi ya Camara ili hiyo nafasi ya kigeni ipelekwe kwenye nafasi nyingine. Simba ina historia ndefu ya kulea magolikipa wazawa na kuwafanya wawe bora na haijapata kipa mzawa wa kimo cha Yakoub kwa muda mrefu. Mpira wa sasa, timu zote zinazojitambua lazima ziwe na golikipa wa kimo cha hao kina Camara na Yakoub.

Pia Mwalimu kwenda Simba siyo jambo baya. Simba mnaidharau ila ina profile kubwa sana na akionyesha kitu na kufanyia kazi maeneo anayostahili kuboresha, Wydad watamrudisha au atapata soko kwingine. Ana fursa kubwa ya kupambania namba pale Simba na kufika mbali zaidi kuliko kama angeng'ang'ania kubaki Wydad. Kumbuka pia Simba wanamlipa mshahara wake ule ule aliokuwa anapokea Wydad.

Pia sijaelewa kwa nini unawalaumu JKT kwenye hili suala la Yakoub.
 
Sijui niseme tatizo ni uongozi unaosimamia huyu kijana,

Au niseme ni tamaa ya fedha,

Au sijui dogo kapenda kwenda kwenye timu kubwa,

Sijui timu yenyewe ya JKT ndio hawajielewi.

Kiufupi huyu kijana kafanya makosa makubwa sana,
Tena haya makosa yamejirudia ndani ya mwaka huu rejea mkasa wa (Clementi mzize na Sulemani mwalimu).

Tunahitaji kweli wachezaji wakubwa katika ligi yetu ila kwa hawa vijana wanaoufanya ni utoto.

Yakoub Suleiman hakupaswa kuichezea Simba timu ambayo yeye akienda anaenda kuwa kipa namba 2. Maana Camara anaufalme wake pale msimbazi.

Huyu kijana anapaswa kwenda kwenye timu ambayo inauhaba na magolikipa na aingie kwenye kikosi cha kwanza sio benchi.

Nimeona kulikuwa na ofa nyingi kutoka nje ya nchi japo hazikuwa za timu kubwa.

Je nini kipi kinawakumba vijana wetu mpaka wanashindwa kufanya maamuzi sahihi?

Moyo wangu ulisononeka sana wakati MZIZE anafanya maamuzi ya kubaki YANGA. Kabla moyo wangu haujapoa huyu mjinga nae anaenda Simba, sijakaa sawa Sulemani nae anarudi nyumbani, Fei nae kawazimia simu KAIZER.

Itoshe kusema kuwa wachezaji wa TANZANIA akili hawana.
kwa fei toto amewekewa mshahara mnono, kuliko hata angeenda huko kaizer
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom