Nimeona chupi ya ajabu!

Likiwa kubwa stim/genye zakutosha,km vle full magazine smg!ni mchekecho2!kwa we unalo pia!!
 

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya filauni, hii yote ni sisi wa kaka kupenda Makalio Makubwa. Hilo ni Janga la Wababa.
 
Na masimango haya tutajaladia hadi miguu. Usisahau kujichubua manake mwanamke mzuri lazma mweupe japo ubuyu unapakwa rangi!
Tatizo ni nyie wanaume,mnataka wamama waliojazia i.e ------ na mapaja makubwa. Sasa mlitaka wafanyeje?
 
Reactions: Paw
heheheeee
hebu ingia google search "enhancing underwear for men" utaziona ... Watu wabunifu kukabiliana na aibu, duh.

alafu ukienda chumbani unakuta kitu kama betri ya remote duh unaweza uzimie.
 


waache wahangaike tu ,wazoefu huwa tunayajua ya kujaladia na ndembendembe asilia mkuu.....
 
Nimeshindwa kuamini bado.
Nataka kuapply Tomaso style
Nikatazame duka gani hapa bongo na zinaitwaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…