we acha tu wife ana genge lake la kuuza nguo sasa anaogopa vibaka! Ila kuanzia sasa nitaanza kuwaangalia kwa jicho la tai wanawake wenye makalio na hips kubwa!hahahaha aukome kwenda tena huko Mpwa, subiri tutawaangalia tu njiani na kuishia kuwangalia.
Juzi jamani nilimsindikiza wife kununua nguo town,in fact alihitaji mlizi fulaani hivi!
Alinipeleleka duka la nguo za ndani ili achukue mzigo....cha ajabu nilishuhudia dada mmoja toka mkoa akichukua chupi ambazo zimetuna nyuma dozen nyingi tu !
Nikahoji hii ndio nini !....nikaambiwa naishi wapi !
Hizo eti nichupi za kumfanya mwanamke aonekana anamakalio makubwa!zimewekwa kasponji fulani hivi
sio hiyo tu pia kuna vikaptula vya kumfanya mtu aonekane ana hips za haja!
Ama kweli hii ni dunia ya urembo
nimemshauri mama watoto aziweke dukani kwake ...sisi si twafuta fwedha! au mnaonajeHii siyo urembo maana ni zaidi ya maigizo🙂 Yaani sisi huku watizamaji tunadhania ni NATURAL kumbe KANJANJA??? Kwa dtyle hii tutaibiwa sana
Nadai Ela yangu hapohapo, tena lazima alipe na gharama zingine kamaAkifika chumbani ndio utashuudia atapovua nguo utadhani mbuzi no hips no makalio yupoyupo tu mbele hachezi nyuma hatingishiki kazi kwelikweli mambo ya town
Nadai Ela yangu hapohapo, tena lazima alipe na gharama zingine kama kinywaji alicho kunywa chakula alicho kula mpaka chumba nilicho lipia lazima avilipe. Arafu namuambia kweli kwamba sikumpenda bali alinishawishi kwa urembo wake wa kuchovya kwahiyo asirudie tena.Akifika chumbani ndio utashuudia atapovua nguo utadhani mbuzi no hips no makalio yupoyupo tu mbele hachezi nyuma hatingishiki kazi kwelikweli mambo ya town
wa humu 2 mujini ...basi tu kutotembea wewe unazo! na je zinalipa!Ahhahahahaha,,..wa wap ww ndo waona leo?
Hii siyo urembo maana ni zaidi ya maigizo🙂 Yaani sisi huku watizamaji tunadhania ni NATURAL kumbe KANJANJA??? Kwa dtyle hii tutaibiwa sana
Mwana mke mwenye makalio makubwa (yasiwe kama ugonjwa) anavutia kimuonekano kuliko mwanamke mwembamba. Akatizapo mwanamke mwenye ---- lililo jaa vizuri sawa na mwili wa muhusika kila kidume lazima kigeuke kumuangalia haijalishi ni mavazi gani aliyo vaa hata avae na kujitanda khanga huku kichwani kabeba gunia la mkaa na jasho likiwa lina mmwagika bado vidume tuta pagawa,wapo watakao jikwaa na wapo watakao vunja shingo kwa kumsororea bila kusahau sisi wengine wenye ugonjwa na viumbe dizine hiyo tutajawa na mate midomoni kama tuna mimba changa. lakini kimbau mbau (maumbo ya kimisi) hata avae chupi tu hato angaisha roho za watu wengi, ispokua macho yameumbwa bila pazia kwahiyo watu hawataacha kumuangalia na ukizingatia kavaa chupi.makalio yakishaonekana makubwa halafu iweje?? ha ha ha wanaume mnijibu hapa
Nadai Ela yangu hapohapo, tena lazima alipe na gharama zingine kama