Kweli kabisa mkuu, anatuchanganya mno wala alichokusudia hakieleweki!!!!!!!!!!!!!hii story yakutunga haikaa vizuri,mtunzi kakae tena uje upya....ufunge nae ndoa aende kwa mumewe?????toa bangi hapa
dalili za kuchepuka hizo bomani ipo kila kona ya nchi hii kwa nn usimfate huko huko aliko naisi unawashwaHabari zenu wakuu.
Nina rafiki angu (sio mpenzi, just a friend) mwalimu amepangiwa mkoani halafu porini sana.
Leo kaniomba twende tukafunge ndoa za bomani ili apate cheti akaombe transfer arudishwe Dar (kwa mume wake).
Akishahamishiwa Dar ndoa yetu inavunjika kila mtu na maisha yake.
Naombeni msaada wa kunieleza ndoa za bomani zinakuwaje.
Shukrani kwa msaada.
Habari zenu wakuu.

Hapana The Boss
Huyu rafiki angu nilimwonea huruma sana alivyopangiwa huko Tabora ndanindani.
Hatuna feelings kabisa.
The easy way kutoka huko ndo hyo suggestion.
Original certificate nitakaa nayo yeye nitampa copy, akishahamishiwa dar naichana na kila mtu anaendelea na maisha yake,
Oh! mkuu nimekuelewa sasa. Ina maana ataomba uhamisho ofisini kwake ya kukufuata wewe mme wake sio? Kama hivo kaka umemuoa huyo.anaishi peke ake, hana mume wala mchumba