Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
- Thread starter
- #61
Hapana mkuu sijaiba nimeokota na lazima nipewe changu.Rudisha cm ya watu ungekuwa ww ungejisikiaje? Leo kwake kesho kwako! Chunga tamaa mbaya
Hapana mkuu sijaiba nimeokota na lazima nipewe changu.Rudisha cm ya watu ungekuwa ww ungejisikiaje? Leo kwake kesho kwako! Chunga tamaa mbaya
Hao wanaokushauri urudishe,wanakuonea wivu maan hawajabahatikaUshauri mzuri mkuu safi sanaaa ngoja nivunje vunje lain.
Hahaha, wewe una ugwadu sana.Mkuu ayaaah acha uzembe mkuu yaani laiti ingekuwa ni mimi ningekula tunda na hela angenipa.
Simu yenyewe ina thamani gani? Kama ni kitochi chukua tu hiyo thirty, maana ataenda kurenew line atoe pesa zake za M pesa na hiyo elfu hamsini badala ya kukupa wewe akaongezea hela kidogo akanunua simu mpya... Kula tu hiyo Thirty mkuu... Tamaa mbaya. Jamaa akighairi hutopata hata mia.Heti wakuu 30000/= itatosha kweli au nimwambie aongeze pesa walau 50000/= manake jamaa ana 291,000/= kwenye M-PESA.
Tulibadilishana namba halafu hata sikufuatilia, nilikuwa busy sana na kazi.Ehee!!kalifatia nini kwa badae mkuu?
Basi sawa nitamwambia anipe hiyo hiyo elfu 30 .Hahahahaha Hiyo inakutosha mkuu
Hapana mkuu siwezi.Rudisha usichukue hata senti kumbuka huo ni mthani uko siku utapoteza kikubwa zaidi
Hahahahhahahaha kama namuona vileNa ubonge wako....
Mkuu kwa kweli napenda pesa hakuna maelezo .Na ndo mana mungu akafanya wepesi wewe uipate ili uirudishe.
Ni Tecno button touch laini 2 .Hiyo simu uliyoiokota ni ya aina gani mkuu Dola Iddy?
Hiyo simu ukiyookota ni ya aina gani mkuu?Mkuu kwa kweli napenda pesa hakuna maelezo .
Ahaaa!!Bhasi poa mkuuTulibadilishana namba halafu hata sikufuatilia, nilikuwa busy sana na kazi.
Mtoto wa kitasha kazibuka na Africa hapo alikuwa karudi kutoka Senegal.
Mambo ya ubinadamu tu, usitake kupata advantage hapo hapo.
Mkuu nimeshakusudia kumrudishia hivyo siwezi kufanya uhuni wowote manake nimempa namba yangu halisi ya voda na laiti kama nikifanya wizi wowote nitakamatwa tu.Usimrudishie nenda katoe tuu hiyo hela maana wewe ni mtaalam wa kuingiza vocha bila ya kukwangua
Huyu jamaa aligegeda tu najua.Ehee!!kilifatia nini kwa badae mkuu?
Onyesha tu utu wema mkuu.Utu wema unalipa.Kiukweli hustahili chochote.Mwache aamue mwenyewe cha kukupa.Na utapata baraka kama utamrudishia simu yake.Dhuluma hailipi mkuu,unajitafutia tu laana katika maisha.Habari zenu wana jamvi natumaini mnaendelea vyema na mihangaiko ya wiki,
Leo mnamo muda wa wa saa 12 jioni nikiwa home nikasema wacha nitoke kidogo niende bazizan nikashangae shange,
Nimefika pale nikaona hakuna la ziada nikaamua niondoke ile napanda kwenye pikipiki yangu kuna jamaa wawili tunafahamiana na wao walikuwa wana pikipiki aina ya boxer wakawa wanataka kuondoka wakaniambia oya bonge umedondosha simu yako ile kutupa jicho nikaiona nikaiokota nikaondoka mpaka nyumbani ile kuanza kukagua sms nikakuta sms ya M-PESA mwenye simu tarehe 9/05/ amefanya muamala wa kutoa 70000/= salio likiwa ni sh 291,000/=
Ile kufika muda wa saa 3 usiku jamaa akanipigia simu kwenye laini zake kuwa yupo Runzewe nikamwambia mimi nipo Ushirombo akasema atanipa 30000/= kama shukrani ya kumuokotea simu na kuonyesha uaminifu ,
Heti wakuu 30000/= itatosha kweli au nimwambie aongeze pesa walau 50000/= manake jamaa ana 291,000/= kwenye M-PESA.
AhaaaaaaMkuu mimi juzi juzi tu nimetoka kutimuliwa kaza kisa vyeti feki na hapa nilipo sina hata senti hivyo siwezi kuiacha ridhiki ipite.
Mkuu hata mimi nimeshawastukia hawa.Hao wanaokushauri urudishe,wanakuonea wivu maan hawajabahatika
Mkuu dah natamani sana ningeokota mimi nadhani ningeweka rekodi kwenye historia ya maisha yangu kwa kutembea na mtoto anazunguka afrika nzima.Hahaha, wewe una ugwadu sana.
Vitu vya kawaida sana hivyo.
Halafu mtoto wa kitasha alikuwa kazibukia Africa aliniambia ndiyo kwanza katoka kutembea Senegal.
Mimi nina Bi Zuhra siwezi kumsaliti mkuu.
Mkuu kwa jinsi jamaa alivyokuwa anaongea nadhani hata muda huu bado hajalala ila simu ina thamani ya elfu 20 pia ina memory card ya 4 gb jumla hapa sikosi elfu 30.Simu yenyewe ina thamani gani? Kama ni kitochi chukua tu hiyo thirty, maana ataenda kurenew line atoe pesa zake za M pesa na hiyo elfu hamsini badala ya kukupa wewe akaongezea hela kidogo akanunua simu mpya... Kula tu hiyo Thirty mkuu... Tamaa mbaya. Jamaa akighairi hutopata hata mia.