Nimeokota simu

Nimeokota simu

Rudisha usichukue hata senti kumbuka huo ni mthani uko siku utapoteza kikubwa zaidi
 
Inaelekea bado hujanielewa weye

[B ]watu wengi (wewe mmoja wapo) lakini binaadamu wachache(wewe si mmoja wapo) [/B]

Pengine nkikuambia hivyo unaweza elewa
Mkuu kwahiyo kupenda kwangu kupewa kifuta jasho ndio uniweke katika kundi la watu na sio binadamu?
 
Mkuu ila mi naona anipe hata elfu 50 tu manake alipoiangushia ni sehemu ambapo vijana wanachezea kamari so wangeinkota wao na lain wangekuwa washavunja kitambo sana.
Na ndo mana mungu akafanya wepesi wewe uipate ili uirudishe.
 
Habari zenu wana jamvi natumaini mnaendelea vyema na mihangaiko ya wiki,

Leo mnamo muda wa wa saa 12 jioni nikiwa home nikasema wacha nitoke kidogo niende bazizan nikashangae shange,
Nimefika pale nikaona hakuna la ziada nikaamua niondoke ile napanda kwenye pikipiki yangu kuna jamaa wawili tunafahamiana na wao walikuwa wana pikipiki aina ya boxer wakawa wanataka kuondoka wakaniambia oya bonge umedondosha simu yako ile kutupa jicho nikaiona nikaiokota nikaondoka mpaka nyumbani ile kuanza kukagua sms nikakuta sms ya M-PESA mwenye simu tarehe 9/05/ amefanya muamala wa kutoa 70000/= salio likiwa ni sh 291,000/=

Ile kufika muda wa saa 3 usiku jamaa akanipigia simu kwenye laini zake kuwa yupo Runzewe nikamwambia mimi nipo Ushirombo akasema atanipa 30000/= kama shukrani ya kumuokotea simu na kuonyesha uaminifu ,

Heti wakuu 30000/= itatosha kweli au nimwambie aongeze pesa walau 50000/= manake jamaa ana 291,000/= kwenye M-PESA.
Hiyo simu uliyoiokota ni ya aina gani mkuu Dola Iddy?
 
Usimrudishie nenda katoe tuu hiyo hela maana wewe ni mtaalam wa kuingiza vocha bila ya kukwangua
 
Ulitakiwa kumwambia hata hiyo 30,000/= asikupe kwa maana unamfanyia ubinadamu tu.

Nishamuokotea simu demu mmoja mkali sana wa kitasha, akanipigia, nikamwambia natoka kazini tukutane mjini kati.

Tukakutana, akataka kunipa zawadi nikamkatalia, nikamwambia ni jambola ubinadamu tu.
Ehee!!kilifatia nini kwa badae mkuu?
 
Tena ningekuwa mimi hata hiyo 30,000/ nisinge pokea bali ninge mpa tu simu yake na aende zake maana si kila kitu ni riziki kwa wakat huo vingine ni viashiria vya riziki endapo utatenda wema
Laiti kama wewe ndio ungekuwa umedondosha simu nakwambia ungenipa laki 1 kabisa kwa post yako inaonekana una hela mno.
 
Ulitakiwa kumwambia hata hiyo 30,000/= asikupe kwa maana unamfanyia ubinadamu tu.

Nishamuokotea simu demu mmoja mkali sana wa kitasha, akanipigia, nikamwambia natoka kazini tukutane mjini kati.

Tukakutana, akataka kunipa zawadi nikamkatalia, nikamwambia ni jambola ubinadamu tu.
Mkuu ayaaah acha uzembe mkuu yaani laiti ingekuwa ni mimi ningekula tunda na hela angenipa.
 
Back
Top Bottom