Nimeokota simu

Nimeokota simu

Kumbuka Tamaa mbaya, uungwana ni vitendo ...... Rudisha simu ya watu maana mnara umeshasoma upo eneo gani chochote utakachofanya cha kiharifu kitakugharimu
Mkuu sina lengo la kuiba chochote ila nilikuwa najaribu kuwauliza je elfu 30 inatosha?
 
Mkuuu naomba unileteee tu hiyo simu na 30 elf yako nitakupa na sitaongeza zaid ya hiyo maana imebidi nije ushirombo usiku huu ili kesho tuonane..nipo hapa musa lodge nasubiri pakuche tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama namuona jamaa jasho linavyomtoka. Usikute ameshapata mteja wa kumuuzia
 
Kwa hiyo nichukue tu elfu 30?
Tena ningekuwa mimi hata hiyo 30,000/ nisinge pokea bali ninge mpa tu simu yake na aende zake maana si kila kitu ni riziki kwa wakat huo vingine ni viashiria vya riziki endapo utatenda wema
 
Hahahaahh
Mkuu umenifurahisha hiko kipande cha chini hapo
Mkuu aisee kwanza hapa nipo juu ya mawe yaani tangu nitimuliwe job kwa kuwa na vyeti feki hela imekuwa ngumu kweli ila nashukuru fursa imejilet.a
 
Ulitakiwa kumwambia hata hiyo 30,000/= asikupe kwa maana unamfanyia ubinadamu tu.

Nishamuokotea simu demu mmoja mkali sana wa kitasha, akanipigia, nikamwambia natoka kazini tukutane mjini kati.

Tukakutana, akataka kunipa zawadi nikamkatalia, nikamwambia ni jambola ubinadamu tu.
 
Rudisha cm ya watu ungekuwa ww ungejisikiaje? Leo kwake kesho kwako! Chunga tamaa mbaya
 
Mkuuu naomba unileteee tu hiyo simu na 30 elf yako nitakupa na sitaongeza zaid ya hiyo maana imebidi nije ushirombo usiku huu ili kesho tuonane..nipo hapa musa lodge nasubiri pakuche tu
Mkuu nipigie simu kwenye namba yangu ya voda niliyokutumia nije na simu sasa hivi 07*2 4*7 *99 nipigie ukishindwa najua sio wewe mwenye simu.
 
Back
Top Bottom