Nimeokota Shilingi ya zamani ya Wajerumani

Joachimb

Member
Jul 23, 2017
62
63
Za asubuhi forum member,

Jana nilikua nachimba msingi wa nyumba, wakati mafundi wanaendelea kuna coin ya zamani waliichimbua imeandikwa 5 heller.

Naomba kuuliza hzo coin bado zina matumizi au kuna watu wanazitafuta ili niweze kuwauzia kama wanazinunua, naomba majibu yenu na kama anayezihitaji anicheki pm kwa mawasiliano.

Nawasilisha.

20210212_103539.jpg
 




Tembelea huku kwanza ujue thamani ya hiyo bati
 
Back
Top Bottom