Nimeokota peni ya ajabu

sheria ya nchi ukiokota kitu ambacho sio mali yako unatakiwa kureport police
 
Mkuu hizo ni diamond?
 
Ss kilichokuleta JF ni nini km una lengo la kutoka kimaisha.. .mana alopoteza pen atapata taarifa
 
Y

Yeah ni zaukweli ziko rough lakini. Hazijakatwa na ku polishiwa
Aiseeeee Hapana mkuu sio zaukweli. Very sorry sikuiona attachment yako. Jaribu ku test Kama nilivyoiona comment hapo awali. Pamoja na hayo jitahidi kuwaona ma ofisa madini wako wajemolojia watakusaidia. Hizo kwenye picha ni synthetics au Madini fulani yanaitwa topaz. You better be careful with this business
 
Watakuwa matapeli wameidondosha,matapeli ni wajanja mno angalia utapigwa..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…