KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,769
- 39,536
Jerrymsigwa said:Unaogopa nn sasa kwani we bikira? Acha bwana, ukute ushakua na mahusiano kibaaaooo huko siku za nyuma!
Ungekua bikira una haki ya kuogopa, lkn kwa ww mmh huna sababu kbs eti Kama ni bikra au sio nayo alitakiwa kuiweka hapa kaka.
Bestitoz MMU.
Kwa Kasie wiki hii yaliyojiri ni upande wa ofcn, tangu jumatatu ya wiki hii ofisini kwetu nimejikuta nakuwa mdada peke yangu na wababa 2.
Wengine mmoja kasafiri kikazi, mwingine yuko likizo mwingine yuko training kwa wiki 2 na mwingine yupo ia anaripoti kazini asubuhi kisha anatoka na kuingia kazi za nje.
Sasa tangu jumatatu wababa hao wamekuwa wakiniambia, Kasinde sasa tumebaki sisi tuu, sasa inakuweje.
mara waniambie umependeza sana, mara miguu yako mizuri, mara sijui imekuaje.
Yaani hawa wababa siwaelewi hata kidogo, kabla ya wiki hii huwa maongezi ofisini yako ya kawaida tuu ya utani na si ile ya kivileee. Mara waanze kusema unajua maofisi wengine wakibaki wawili huwa wanafanyana/wanadinyana, sasa hapa tumebaki sisi tuu sasa tufunge mlango.
Hapa nimejikausha wanapiga story zao mie niko busy najidai nimeconcetrate kwenye computer ila naomba ijuaa ifike salama maana huwa sina tabia ya kutoroka kazini siwezi, ingekuwa hivyo ningeshatoroka na kwaachia ofisi.
Tangu jana wananiganda nawanunulia lunch ofcourse tunakula hapahapa ofisini yaani, sijui wamepata genye za ghafla au ni nini kimewakumba.
Naogopa uu wasijenibaka Kasie wa watu, sijui niwatukane? au nianze kuwaongelesha kiingereza.
Maana wanaume wengine wakishapandishaga genye akili inakuwa haifanyi kazi kabisa.
Niombeeni wapendwa wiki 2 ziishe salama.
Na ujanja wangu wote am worried.
bwana we jipendekeze kwa mmoja basi mwite baby baby huku unamyima wengine watakuita shemeji basi umekata mzizi wa fitna loh
Naanzia wapi Kaside mie ujanja wangu wote habari ya kudinyana ofisini siiwezi aisee, mie huwa siendagi kwa mkopo wala siuzi, nafanya kitu roho inapenda kwa raha zangu. We endelea kuinjoi hilo game la ofisi mie siwezi hata jarobu kuonja
sawa tuAkijipendekeza c atampa sikiza bola tuongozane na mimi nikakuekee hishima watahadithiana tu hao
Jiepushe nao ikiwezekana mwambie mlinzi wa hapo kazini kwenu kama wapo wawili mmoja awe karibu na wewe, vinginevyo wanaweza kukubaka
Bestitoz MMU.
Kwa Kasie wiki hii yaliyojiri ni upande wa ofcn, tangu jumatatu ya wiki hii ofisini kwetu nimejikuta nakuwa mdada peke yangu na wababa 2.
Wengine mmoja kasafiri kikazi, mwingine yuko likizo mwingine yuko training kwa wiki 2 na mwingine yupo ia anaripoti kazini asubuhi kisha anatoka na kuingia kazi za nje.
Sasa tangu jumatatu wababa hao wamekuwa wakiniambia, Kasinde sasa tumebaki sisi tuu, sasa inakuweje.
mara waniambie umependeza sana, mara miguu yako mizuri, mara sijui imekuaje.
Yaani hawa wababa siwaelewi hata kidogo, kabla ya wiki hii huwa maongezi ofisini yako ya kawaida tuu ya utani na si ile ya kivileee. Mara waanze kusema unajua maofisi wengine wakibaki wawili huwa wanafanyana/wanadinyana, sasa hapa tumebaki sisi tuu sasa tufunge mlango.
Hapa nimejikausha wanapiga story zao mie niko busy najidai nimeconcetrate kwenye computer ila naomba ijuaa ifike salama maana huwa sina tabia ya kutoroka kazini siwezi, ingekuwa hivyo ningeshatoroka na kwaachia ofisi.
Tangu jana wananiganda nawanunulia lunch ofcourse tunakula hapahapa ofisini yaani, sijui wamepata genye za ghafla au ni nini kimewakumba.
Naogopa uu wasijenibaka Kasie wa watu, sijui niwatukane? au nianze kuwaongelesha kiingereza.
Maana wanaume wengine wakishapandishaga genye akili inakuwa haifanyi kazi kabisa.
Niombeeni wapendwa wiki 2 ziishe salama.
Na ujanja wangu wote am worried.
Kasinde, inaonekana hujawaelewa wanaume vizuri. Sio kwamba kila anaekusifia maanake anakutamani. NOYaani kuwatukana siwezi, kusifiwa pia sio dhambi, lakini kuna ile....
Eeeeeh Kasie kumbe una usafiri mzuri eeehhh huku anakuangalia kwa jicho la mate kumtoka, hapo lazima ukae vizuri maana anaonesha kabisa akili ishahama juu inashuka chini. Humu maofisini ni majanga matupu