Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Yaani kuwatukana siwezi, kusifiwa pia sio dhambi, lakini kuna ile....
Eeeeeh Kasie kumbe una usafiri mzuri eeehhh huku anakuangalia kwa jicho la mate kumtoka, hapo lazima ukae vizuri maana anaonesha kabisa akili ishahama juu inashuka chini. Humu maofisini ni majanga matupu
mchoyo hana rafiki.
Pole ila hata mimi nimeomba cn hiyo ''kitu" kwa wanawake wawili ila wamenizungusha adi nikakata tamaa....kwa sasa sioni hata km kuna aja ya kula ''mzigo" tena maishani mwangu.
hii methali tu kwenye maisha halisi haipo