God iz bae
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 527
- 1,086
Lita 1 mia tano??? Uku kwetu iyo ni bei ya nusu lita[emoji34][emoji30]
Sio Mpanda mkuu, Hiyo Dewdrop yanayoka Sumbawanga mkoa wa RukwaYanatoka Mpanda Rukwa
Huko Kigoma Ni Mengi Sana
uoga wako tu, hayo maji yanatengenezwa sumbawanga, yapo sana katavi, tabora na kigoma
kama ambavyo ruwenzori yametawala huko ngara na bukoba
dewdrop wame dizaini izo chupa vizuri mno
Usirudie,ni hatari kwan kiwanda kinaweza kukufungulia mshtaka kwa kupunguza Wateja na Ku undermine biashara yao,ila co mby kwa kua unajifunza mkuuNiwie radhi mkuu labda ni uandishi wangu
Ila pia anayatangaza kiainaUnaharibu bizness za watu.
Hata TaboraYanatoka Mpanda Rukwa
Huko Kigoma Ni Mengi Sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona viepe pembeni na wamikoani huwa mnagonga hizo kitu?