Nimeogopa kunywa maji haya msaada tafadhari

Nimeogopa kunywa maji haya msaada tafadhari

Naona viepe pembeni na wamikoani huwa mnagonga hizo kitu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo sio wa dar tu mpaka mikoani eeh.

BTW nayo maji naipenda package yake tu aisee.
Bonge moja la chupaaaaa kama sio bongo
 
Yanatoka Sumbawanga kiwanda cha Tawaqali yameenea sana Katavi Rukwa na Kigoma Dewdrop ni mazuri mkuu usijali
 
Yana packaging moja amaizing,
utadhani yale maji US wanauza
usd 3000 kwa lita moja
 
Mkuu maji ni mazuri yanatoka sumbawanga kampuni ya tawaqal ambayo zamani walikua wanamiliki mabasi,nyanda za juu kusini ndio maji tunayotumia kwa wingi
 
Back
Top Bottom