Nimeoa single mama

Mkuu ni kwamba tuu bakiza akiba tuu kuw huko mbele utakuja kuishi na huyo mtoto usijpe 100% mazingra yanawez kuja kuamua

Nakutania kila la heri
 
Ana roho nzuri wapi wanaume wana roho nzuri wana upendo achana na hawa
 
Chukua hii...mtoto hana alijualo...mpende na mke wako na mtoto wake...

NB:akiwasiliana na baba mtoto hata siku moja na ukajua piga chini...usimuhurumie
 
Tatizo lenu wenye watoto wakija mnapasha kiporo cha wali maharagwe
Wakija wapi wengine washakufa bana akiamua kutoka na mwanaume mwingine sio lzima baba mtoto
 
Unabidi kuishi Kama Jay z au OBAMA AU SUGU YAANI 29YRS UNakurupuka unaingia king
 
Kama kaburi halijaonekana na baba mtoto basi uko mbele kazi ipo
 
Watu mnamaneno ya shombo humu, eti kwamba ana mikosi kisa tu kaoa single maza. Mie hata leo ikitokea la kutokea labda nimefikia muda natakiwa kuoa upya nitaoa single mother. Hawa watu wana akili sana kwenye maisha.

Utafikiri yeye kakamilika
 
Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Barikiwa aisee,....na boga lake bhanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…