Nimeoa single mama

Nikimwangalia yule first born wangu just in case Mr. Angenikimbia ndo nimwache moto wangu aaah! Haiwezekani aiseeeh nilipo watoto wangu wapo Bora nisiolewe tu.
ndoa ngumu saiv ukibahatika kama ivi tumia frusa vizuri kubaliana masharti yoyote
 
Humu jf watakuvuruga akili
 
Kwa hiyo watu walozaliwa tofauti baba sio ndugu
Mfano wewe hutaki kuzaa Kwa njia ya kawaida ukaongea na Mumeo mbegu zenu zifanyiwe fertilization alafu kijusi kitakachotokea kiingizwe katika Mfuko wa tumbo la uzazi la mwanamke mwingine, alafu mtoto akazaliwa huyo mtoto atakuwa ndugu na watoto wengine WA huyo mwanamke mwingine mliyemuomba mtoto wenu akae tumboni mwake?

Hivyo hoja ya kuzaliwa tumbo moja sio hoja.
 
Umefanya kosa kubwa sana la kiufundi ww mvulana katika maisha yako....ww ni limbukeni wa mapenzi au domo zege kabisa unaflow na vitonga tu....sasa kabla ya kufa utapigwa kama ngoma swhain kabisa...umepanda mtumbwi wa vibwengo.... 29yrs mtu bogus kabisa hv??? huko shule wanafunguaga hizo mbongo zenu na kujaza usaha au mnaenda shule kukua na sio kukomaza uwezo wa kufiki🤔
 
Akinitafuta sawa asiponitafuta sawa as longest baba yake wa kufikia anamuonesha mapenzi inatosha..kubwa zaidi mzazi mwenzangu na mme wake wanafuraha ya ndoa yao MOYO WANGU MIMI MWEUPE
 
Bwana mdogo huo ushauri wako ungekuja kutuomba kabla ya kumuoa huyo singeli maza nadhani ingekuwa vizuri zaidi,, ila kwa kuwa ushamuoa, nakushauli kama mahari kama hujamalizia kulipa sikilizia kidogo hata miezi sita alafu ndo umalizie
sijamaliza nimetoa faini tu kidogo sana
 
Hapo kwenye mawasiliano Mimi mzazi mwenzangu alikataa kabisa na akaenda mbali zaidi akasema mtoto sio wangu
 
Hongera mkuu ila huyo mtoto utake usitake baada ya miaka miwili utaishi nae tu.
nimesema siwezi jamn mbona unanilazimisha? ,,,,kuishi nae labda bibi yake na mama ake mdogo wanayeishi naye wafariki, tofauti na apo siwez
 
Halafu inakuwaje mwanamke unaacha mtoto wako wa miaka 2 eti unaenda kuolewa? Hii ngumu kumeza. Unaacha mtoto wako then unaenda kuzaa wengine huko. Yaani huko ni kumnyanyasa mtoto. Yaani anakosa malezi ya baba na mama.
analelewa vizuri mno ,,hilo lisikupe shida
 
Mi nakushauri kila mwezi uwe unakatumia hako katoto kake 10,000 kama posho ya kumpoza mama mkwe wakati nyie mnabingirika
ma mkwe hana shida ya pesa anayo ya kutosha
 
Sio vizuri kutenganisha mama na mtoto, please chukua huyo mtoto mtunze kama mwanao na apate mapenzi ya mama yake, watoto ni watoto tuu hata kama sio damu yako na anaweza kuja kukupenda, kukusaidia na kukuheshimu kuliko hata wa damu yako
ni ngumu jamaa angu japo uloongea ni kweli ila kwangu ni ngumu sana
 
Jiandae kisaikolojia kupatwa na PTSD au Schizophrenia ni rahisi sana unapoingia kwenye mahusiano na single mother ikiwa wewe sio single father,
fafanua vizuri mkuu sijakuelewa
 
siku nikijua hamna msamaha apo ni kutimua mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…