Nimeoa nina miezi miwili lakini naona kero kwa mambo haya

Hiyo namba mbili inaonyesha ni jinsi gani wewe na mkeo hamna mawasiliano kitu ambacho inawabidi mubadilike.

Labda nikwambie tu ndoa nzuri ni ile yenye masikizano na hata maelewano hivyo sio mbaya mkajijengea tabia ya kuzungumza na huyo mkeo kabla hajapika mkaelewana kile chakula ambacho kila mmoja atakifurahia kwa siku hiyo ndo kikawa kinapikwa.

Na ndio ndoa zipo hivyo, hapo mtaifurahia kila siku.
Ushauri kuntu kabisa huu Shadeeya
 
Nina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa

1: Ku deal Na wakwe Na mashemeji
kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha maana Na akaforce muongee nusu saa Na huezi mkatia simu.tena bora awe mjini wakiwa wa vijijini utakoma.af shida zao zote zinakua zako

2: Kula chakula ambacho amependa mke wako siku hiyo.
unaeza toka kwenye miangaiko siku hyo ukawa Na hamu ya ugali samaki ila ukakuta kapika kande la nazi, af anaanza kusifia sifia lilivyo tamu.inakeraa

Saa nyingine ukimpgia simu mapema umwambie apike nn anakwambia ashanunua vifaa,hata kama bado atakudanganya ilimradi apike anachotaka kula siku hyo

3: Kuwekewa maji ya kuoga af siku hyo hutak hata kuyaona maji.
utaskia honey nshakuekea maji kaoge,dah inakera Na huezi kataa

4: Kukosa uhuru
ukipigiwa simu tu ukamaliza kuongea unaanza kuulizwa alikua nan?

Hapo unaanza kujieleza inform of essay

To be continued......
Mmemaliza field?
 
Wewe bado ni kijana wa kiume!! Wanaume hatuoni hizo kama ni kero ndani ya ndoa.
 
Aiseeeeee kwaiyo na mm unanishauriiii nisioe kabsa sio
 
Namba nne mwambie kabisa sipendi kuulizwaulizwa maswali ya kijinga hayo mengine ni akili yako tu,nasisitiza tena usikubali ujinga wa namba nne ukiukubali ipo siku utajuta.
 
Back
Top Bottom