Nimeoa Mrangi

Nominii

Senior Member
Joined
Nov 24, 2022
Posts
101
Reaction score
205
Kutokana na misemo kadhaaa na kupitia baadhi ya nyuzi humu ndani, kuhusiana na jamii hiyo sijaamini nilichokutana nacho.

Nimeoa mwanamke mmoja Mrangi, keupe haswa. Kutokana na wanavyosemwa nimemkuta ni 'og' hajawahi guswa. Kamaliza chuo kikuu ana miaka 24.

Hii ni kigezo tosha kuwa jamii inabadilika ama ndiyo bahati nasibu?
 
Jiandae kurogwa sana ,malimbwata ya kutosha
Jiandae kuchapiwa na mtsa mzima
Wahaya hawana shida hata wakichapiwa. Watu wasiopenda kuchapiwa yaani wanao ona puchi Ni Mali Ni wasambaa na wazigua. Kama umechoka hizi adha za Dar za maji, umeme na kucheleweshewa mshahara, tembea na mke wa mzigua halafu ajue. Usinga hautakuwacha hai.
 
Hongera sana
 
Barabara ya TARURA umeikagua?
Halafu kumbe wewe bado wakuja, hujawahi kuona zile bikira kule Tanga za wanawake waliokwisha toa mimba zaidi ya moja?
 
Zero km hata mkija achana fresh tu ,hongera sana.

Asante, Sikua naamini maana anajua dini sana na alinipiga marufuku kusasambua kabla ya ndoa na kunambia Mama yake wameekeana miadi hatomuaibisha kw mkwewe kutomkuta bikra
 
fungua mlango ili umwamini kisha aanze vimbwanga vyake. siku ukipikiwa kuku kwao kondoa ujue ndiyo mambo yanaanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…