Pole sanaWakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni
*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji
*Ukiomba game anasema amechoka
Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
wewe uko na matatizo! sii BureWakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni
*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji
*Ukiomba game anasema amechoka
Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
Huna akili timamu wewe kaffirYapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
Raha Yao mkioana anakukula kilokole haina kukamiana🤗🤗🤗Hata wanaume wa kilokole bure kabisa!
Umeoa mke mlokole au umemuolea mke mchungaji? Elezea vizuri hapo unaweza ukawa umeoa mke kwa niaba ya mchungaji mchungaji ndie anaemtomba wewe anaishi na wewe km kaka yake tu tena kaka wa kambo ila mumewe halisi ni mchungaji anaaichapa kila anapoitaka shtuka*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji
*Ukiomba game anasema amechoka
Hiyo ni faida ama hasara?Raha Yao mkioana anakukula kilokole haina kukamiana🤗🤗🤗
Mimi wa hivi simtaki!Raha Yao mkioana anakukula kilokole haina kukamiana🤗🤗🤗
Mambo magumu huko nje mkuuWanaume mnashida gani, mara huyu mjita malaya,huyu single maza hafai,huyu nae mlokole si wakuoa!!
Tunakwama wapi?
Wanawaita dady!!Hiyo sasa ni too much
Wenyewe wanaita baba yangu wa kiroho.
Huwa wanapumbavuka kupitiliza.