Nimenyimwa mkopo MD Muhimbili

Nimenyimwa mkopo MD Muhimbili

Msiba wa Taifa

Senior Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
128
Reaction score
53
Jamani hivi ni kweli mwaka huu mpaka kozi za afya hatupati mikopo au?
Mbona mpaka sasa kimyaa.!!
Chuo kimefunguliwa sijaripoti chuoni?
Wenzangu washaanza kusoma!!
Je serikal mnatuangalia vp?
Jaman tuanzish maandamo ya Amani mpaka Loan Board !!
SIAMINI KINACHOENDELEA.
 
Unasubiri nini ndugu? Anzisha kunji wewe mwenyewe. Nenda kalichimbishe pale pale Bodi ya Mikopo. Wapo waliofanya hivyo na wakapewa mkopo. Pesa ya mikopo ipo ila ni kidogo, issue ni nani apewe.
 
Labda hadi tukalie kwenye vyombo vya habari.
 
Jamani hivi ni kweli mwaka huu mpaka kozi za afya hatupati mikopo au?
Mbona mpaka sasa kimyaa.!!
Chuo kimefunguliwa sijaripoti chuoni?
Wenzangu washaanza kusoma!!
Je serikal mnatuangalia vp?
Jaman tuanzish maandamo ya Amani mpaka Loan Board !!
SIAMINI KINACHOENDELEA.
Si heri na wewe wenzio tumenyimwa mkopo St Joseph MD
 
Jamani Jumatatu saa1 kamili nitakuepo loan board nikawaulize tatizo nini?
 
haya ni maajabu mapya ya dunia yani MD muhas afu unamnyima mkopo!!!!!
 
Kama umesoma shule zote za government inabidi wakupe mkopo..
 
Mbona nilienda wakaniambia sina sifa na nimesoma shule za government zote.
Umemuweka Kikwete hapo Inaonekana unaipenda CCM.... Na uliipigia kura..

Mliambiwa Elimu Bure Mpaka chuo kikuu Mkachagua Mpk Form Six... Sasa unataka mkopo wa Nn
 
ahahaaa wengi si mmesoma kwenye ma ST fulani uko na PRIVATE ambayo ada ni kuanzia 1.5 sasa balaaa ndo hilo hutaki kalale ukue mana mkopo hakuna
 
Jamani hivi ni kweli mwaka huu mpaka kozi za afya hatupati mikopo au?
Mbona mpaka sasa kimyaa.!!
Chuo kimefunguliwa sijaripoti chuoni?
Wenzangu washaanza kusoma!!
Je serikal mnatuangalia vp?
Jaman tuanzish maandamo ya Amani mpaka Loan Board !!
SIAMINI KINACHOENDELEA.

Hujasema muhimbili unasoma nini?na umepata dv ngapi?ili tuvompere na unachokisema
 
Back
Top Bottom