Nimenyimwa mkopo MD Muhimbili

Nimenyimwa mkopo MD Muhimbili

Jamani hivi ni kweli mwaka huu mpaka kozi za afya hatupati mikopo au?
Mbona mpaka sasa kimyaa.!!
Chuo kimefunguliwa sijaripoti chuoni?
Wenzangu washaanza kusoma!!
Je serikal mnatuangalia vp?
Jaman tuanzish maandamo ya Amani mpaka Loan Board !!
SIAMINI KINACHOENDELEA.

Nenda ukaripoti chuo na direct cost,kuna wenzio wengi tu washafika na swala lenu linafuatiliwa na serikali ya wanafunzi chini ya Bujiba,

Nenda ukaripo mdogo wangu
 
Wanataka karo nusu mkuu laki 9 na direct cost laki 1.2 jumla kama milioni moja hzo pesa sina.
 
Nenda ukaripoti chuo na direct cost,kuna wenzio wengi tu washafika na swala lenu linafuatiliwa na serikali ya wanafunzi chini ya Bujiba,

Nenda ukaripo mdogo wangu
Hata akifuatilia siwez pata maana loanboard wameniambia hawatoi tena batch ingine labda niappeal
 
Ni ili 2020 muwaambie wazazi wenu sehemu ya kupiga kura, tungechagua elimu bure hadi chuo kikuu tungekuwa tunasubiri ku sain boom saiv
 
Kwa ninavyo jua: Muhimbili ndio watu huwa wanakosa mkopo lakini chuo chenyewe huwa kinafanya jitihada za haraka kuhakikisha wale waliokosa mkopo wanapata! Nacho weza kukushauri Nenda muhimbili lipa ada ya nusu mwaka yaani laki 9 na michango mingine mingine then pale kupitia waziri wa Mikopo mtaandika majina yenu na Semister ijayo mnakuwa mmepata mkopo wenu!!!

Kikubwa usikate tamaa na kuanza kulia lia kuwa umechaguliwa muhimbili na huna Mkopo wewe Nenda pale pale chuo jisarii hicho ndo cha muhimu mengine yataKaa sawa
 
Pesa ndo tatizo mkuu.
 
serikali nayo ilikuwa ya kupiga deal sasahivi dili hakuna nayo dhoofu l hali..
wameweka kwapani hadi michango ya machinga kwa wahanga wa maafa ya tetemeko..
 
Back
Top Bottom