Yani umekuja kuniweka wazi kwenye JF, umeniona boya kiasi hicho, unafikiri nimemalizana na wewe, sasa ndio sikuongeleshi tena mpaka mwaka huu uishe. Na mwaka huu hauishi lazima ntaoa mke wa pili ili ushike adabu.
Halafu hebu kaa na ujiulize yule kijana au ndoa yako, kipi muhimu kati ya hivo viwili???