Leo hii nimerejea nyumbani baada ya kuwa nimesafiri kwa muda kikazi katika nchi mojawapo ya kiarabu! Nilipokuwa huko kwa wiki moja nilidhani kama ni mwaka! Watu ni wa ajabu sana! Kuna siku moja nilitoka na mwenyeji wangu kwenda kupata chakula. Muuza chakula (kitaa) akaniuliza wewe ni muislam? nikasema hapana! Akaniuliza wewe ni mmarekani? (aliuliza akichanganya kiarabu na kizungu). Nikawa najiuliza ni kwanini ananiuliza hivyo? Kabla sijamjibu nikasikia akipiga kelele 'amerikani' (huyu ni mmarekani). umati wa watu waliokuwa karibu wakakanizunguka huku wakibwatuka eti 'wamarekani ni watu wabaya sana kwani wamemnyonga saddam hussein pia wanamtaka na osama bin laden'. Mwenyeji wangu ikabidi afanye kazi ya ziada kuwaelewesha kwamba mimi sio mmarekani. Walikubali tu baada ya kuwatolea hati yangu ya kusafiria (pasipoti).
***(nawasilisha)
did you smell a rat?
Mhhhhh sidhani kama hao ulosema ni waarabu ni wajinga kiasi hicho wasiweze tofautisha kati ya Muamerika na mtu toka Africa. Kwanza umesema ulikuwa na mwenyeji wako, ilikuwaje wakakuuliza wewe usojua lugha ya kiarabu badala ya mwenyeji wako??? Hapa nanusa harufu fulani ya ***************.
Ni wapi huko i.e nchi gani?Leo hii nimerejea nyumbani baada ya kuwa nimesafiri kwa muda kikazi katika nchi mojawapo ya kiarabu! Nilipokuwa huko kwa wiki moja nilidhani kama ni mwaka! Watu ni wa ajabu sana! Kuna siku moja nilitoka na mwenyeji wangu kwenda kupata chakula. Muuza chakula (kitaa) akaniuliza wewe ni muislam? nikasema hapana! Akaniuliza wewe ni mmarekani? (aliuliza akichanganya kiarabu na kizungu). Nikawa najiuliza ni kwanini ananiuliza hivyo? Kabla sijamjibu nikasikia akipiga kelele 'amerikani' (huyu ni mmarekani). umati wa watu waliokuwa karibu wakakanizunguka huku wakibwatuka eti 'wamarekani ni watu wabaya sana kwani wamemnyonga saddam hussein pia wanamtaka na osama bin laden'. Mwenyeji wangu ikabidi afanye kazi ya ziada kuwaelewesha kwamba mimi sio mmarekani. Walikubali tu baada ya kuwatolea hati yangu ya kusafiria (pasipoti).
***(nawasilisha)
hahaa duuh?
thanks,mke wangu Nyanzala anakusalimia cheusi mangala
Kuna siku moja nilitoka na mwenyeji wangu kwenda kupata chakula. Muuza chakula (kitaa) akaniuliza wewe ni muislam? nikasema hapana! Akaniuliza wewe ni mmarekani? (aliuliza akichanganya kiarabu na kizungu). Nikawa najiuliza ni kwanini ananiuliza hivyo? Kabla sijamjibu nikasikia akipiga kelele 'amerikani' (huyu ni mmarekani). umati wa watu waliokuwa karibu wakakanizunguka huku wakibwatuka eti 'wamarekani ni watu wabaya sana kwani wamemnyonga saddam hussein pia wanamtaka na osama bin laden'. Mwenyeji wangu ikabidi afanye kazi ya ziada kuwaelewesha kwamba mimi sio mmarekani. Walikubali tu baada ya kuwatolea hati yangu ya kusafiria (pasipoti).
***(nawasilisha)
Silu moja nilikaa katika hoteli mji mmoja mdogo ujerumani. Asubuhi wakati na check out, nikamwambia yule dada pale checkout counter kuwa nahitaji taxi. Alivyokuwa anapiga simu kuita taxi, nilimsikia akimweleza taxi driver kuwa abiria atakayembeba ni Mmarekani. Hata mimi nilipata mawazo kuwa picha waliyozoea ya watu wenye rangi kama zetu ambao wanaoweza kukaa kwenye hoteli kama ile ni Wamerakani weusi tu na sio Waafrika. Nikamuona amepitwa na wakati na anahitaji darasa. Bahati mbaya kwake sikuwa na muda wa kutoa hilo darasa.Hapo naona hiyo stori kidogo imechakachuliwa. Sasa wewe ulifahamu vipi kiarabu hicho kwa ghafla? Nao wamarekani huwafanyia hivyo hivyo waarabu wanaokwenda kwao.
Na hiyo pia sio ngeni kwani mimi mnamo mwaka 90 nilikwenda South Korea na kila nilipopita nilikuwa naitwa (kwa kejeli) ...... hey Americano!
Wanaamini Afrika ni nchi masikini sana na hawana uwezo wa kufika huko kwao.