Umenunua uchi wala hujanunua PENZI. Penzi halinunuliwiKwa mara ya kwanza nmenunua penzi, yaani nmelala na malaya,
nina hali ngumu, visenti nilivyo navyo vinanifanya nipoteze mwelekeo.
sina mpenzi wa kuamnika.
nawaza kuoa.
napoteza.
naloose control.
nina mambo mengi, mpaka inafkia wakati nayumba, nina stress, nmekonda.
wasichana hawaaminiki, na wa rika labgu ndo pasua kichwa.
Mwanangu umenitishaMalaya wana haribu sana destiny mzee.
1.Wamebeba energy za watu wengi na hutumika sana rohon directly au indirectly .
2.Kuna ambao ni visu warembo mno na wana mpunga tu, ila wanafanya hivyo ni kama sehemu ya task zao za kiroho.
3. Wengine si malaya kabisa bali ni malaya wa misimu, inakuwa ni sehem ya tambiko au ku please roho flani kuendelea kufanya agano naye, ndio utakuta mtu anajiweka road au viwanja akifanikisha ana agano lake kuwa haonekani tena.
4.Wengine ni vigagula, yupo pale kuiba nyota na vitu vingine kupitia Sex
5.Wengine ni wakusanya sperm, ambazo zinakaz maalum. Unakuta mwongin hata humgongi ila unalal na fisi kichawi unajiona unakula demu mkali.
Wengine wanakusanya hizo condom, kazi inaendelea.
Deal na ishu zako kiroho, utasolve mengi ya mwilini pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah, umenikumbusha msondo ngoma baba ya muziki hayo maneno hapo juu!Pole sana...
Umenunua penzi pasipo na penzi, umekua kama chizi huuambiliki mjini...
Focus man, usiendekeze ujinga...
Cc: mahondaw
Daah, umenikumbusha msondo ngoma baba ya muziki hayo maneno hapo juu!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] [emoji16] [emoji16] shenzy kabisaMwanangu umenitisha
Leo nilikuwa napanga niende concord kariakoo kuchukua toto moja la kiarabu.
Ngoja nitafakari kwanza uliyoyaandika.
Ila nikimaliza kutafakari safari yangu iko pale pale
Nikupitie nikiwa naenda ?[emoji16] [emoji16] [emoji16] shenzy kabisa
hivi concord bado ipo?Mwanangu umenitisha
Leo nilikuwa napanga niende concord kariakoo kuchukua toto moja la kiarabu.
Ngoja nitafakari kwanza uliyoyaandika.
Ila nikimaliza kutafakari safari yangu iko pale pale
usisahau kuleta mrejeshoSijajua
Ndio nipo njiani naelekea huko
Umri gani weweKwa mara ya kwanza nmenunua penzi, yaani nmelala na malaya,
nina hali ngumu, visenti nilivyo navyo vinanifanya nipoteze mwelekeo.
sina mpenzi wa kuamnika.
nawaza kuoa.
napoteza.
naloose control.
nina mambo mengi, mpaka inafkia wakati nayumba, nina stress, nmekonda.
wasichana hawaaminiki, na wa rika labgu ndo pasua kichwa.
Concord ni kkoo shm gan? Kuna nin?usisahau kuleta mrejesho
malayaConcord ni kkoo shm gan? Kuna nin?
Wa kiarabu?? Wana bei mbaya au ya kiraia?malaya
Penzi halinunuliwi, unanunua kwa shs ngapi penzi!Kwa mara ya kwanza nmenunua penzi, yaani nmelala na malaya,
nina hali ngumu, visenti nilivyo navyo vinanifanya nipoteze mwelekeo.
sina mpenzi wa kuamnika.
nawaza kuoa.
napoteza.
naloose control.
nina mambo mengi, mpaka inafkia wakati nayumba, nina stress, nmekonda.
wasichana hawaaminiki, na wa rika labgu ndo pasua kichwa.
bei ya kati.wewe tu sound zakoWa kiarabu?? Wana bei mbaya au ya kiraia?
Kijana baada ya kujenga unabomoa.Kwa mara ya kwanza nmenunua penzi, yaani nmelala na malaya,
nina hali ngumu, visenti nilivyo navyo vinanifanya nipoteze mwelekeo.
sina mpenzi wa kuamnika.
nawaza kuoa.
napoteza.
naloose control.
nina mambo mengi, mpaka inafkia wakati nayumba, nina stress, nmekonda.
wasichana hawaaminiki, na wa rika labgu ndo pasua kichwa.
Malaya wana haribu sana destiny mzee.