Nimenunua LUKU sh 1000/-

Mimi wa 5000 napata units 7 hiv tatizo n lip?
yaani tanesco ndio kampuni pekee ambayo mteja mwaminifu,hapewi ofa ila anakamuliwa kisawasawa.

Iko hivi,hapo wewe uko katka kiwango cha juu cha matumizi,yaani kakiwanda kadogo.kuna kakiwanda ka chini kidogo kwa hela hiyo angepewa unit 13.na chini kabisa kwa hela hiyo angepewa unit zaidi ya 30.

Lipa umeme kadri unavyotumia,yaani LUKU.
 
leo mjanja wewe , na hivi jengo linabomolewa watakusubiri uweke hela nyingi wakukate na hii uliyoikimbia , ili kupapunguza machungu ya ubomoaji.
 
Nikieka umeme wa 2000 napata unit 52
 
Inawezekana umeme ukawa bei tofauti tofauti,
Elf 10 napata unit 28.1
Elf 15 nimepata unit 42
 
Inategemea upo tariff ipi, unapotumia umeme mwingi kwa mwezi unapangiwa kiwango chako. Nabahatisha ila uliza Tanesco. Mahesabu ya kununua kidogokidogo sikujua,wakijua wengi Tra itakula kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…