Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 6,317
- 12,957
Mbona hukufikisha salamu zangu nilipokuagiza we Mama?Extrovert uko wapi?
Kuna kinu mwenye nacho hakielewi huku...
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mbona hukufikisha salamu zangu nilipokuagiza we Mama?Extrovert uko wapi?
Kuna kinu mwenye nacho hakielewi huku...
Nilifikisha Inter....Mbona hukufikisha salamu zangu nilipokuagiza we Mama?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Niko powa kabisa, kwanza niwie radhi nimekurupuka kukukumbusha inshu yangu kabla hata sijakusabahi.Nilifikisha Inter....
Unaendeleaje kwanza?
wengi huwa wanakosea hasa kwa kununua HT kwa ajili ya kupata sound kubwa ya mziki.Ni kampuni ya LG. Kuna maandishi yanasomeka lhd657 january 2023. Nimeifunga ndani kwangu cha ajabu inazidiwa mkito na hizi sabufa za kichina spiano
Nimeinunua 700k. Pesa yangu inaniuma sana kwa hiki nilichokutana nacho
Nimeagiza mwanza sijafata mwenyewe. Je, hii sio fake kweli wakuu?
Sijambo sana Rafiki....Niko powa kabisa, kwanza niwie radhi nimekurupuka kukukumbusha inshu yangu kabla hata sijakusabahi.
Hujambo lakini Mama?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Tatizo halikuwa umeme. Muda mwingi nilikuwa sijaitumia hiyo radio. Siku nataka kuiwasha nikaichomeka vizuri tu kwenye umeme vifaa vingine kama tv vimeunganishwa vyote kwenye stabilizer. Lakini radio ikagoma kuwaka. Mimi niko mkoani. Nikaisafirisha hadi dar kwa hao LG. Kitu cha Kwanza kufungua tu 30 pale. Kukagua sijui what what 20 pale. Kifaa ndio nikaambiwa laki 3+ na kitu. Wakati radio ni laki 5+Hukuzingatia stabilizer, mi sikutaka kukosea kabisa maana connection ya umeme, mzik, friji na TV vinatokana na soketi 1, niligharamika kununua stabilizer mapema sana
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Aya asante bwana.Nina uhakika na ninachoandika..niliwahi kununua LG 330W sikuielewa kabisa..niliuza nikanunua LG 1000W naenjoy mziki wa maana..na pia zinapendeza sana ukiziweka sebuleni..sipendagi kuandika kitu nisichokijua kama wewe unabisha upumbavu huku unatumia sabufa ya ALITOP😀
Labda huku Kwetu Tanzania,ila Duniani huwez ongelea Sony kweny soundKwa upande wa sound hadi sasa Sony ndio naona anafanya vizuri sana....
Huo ndo mziki sasa achana na makelele ya seapiano na aborderNi kampuni ya LG. Kuna maandishi yanasomeka lhd657 january 2023. Nimeifunga ndani kwangu cha ajabu inazidiwa mkito na hizi sabufa za kichina spiano
Nimeinunua 700k. Pesa yangu inaniuma sana kwa hiki nilichokutana nacho
Nimeagiza mwanza sijafata mwenyewe. Je, hii sio fake kweli wakuu?
Huko Duniani ni kampuni ipi inafanya vizuri kwenye sound?Labda huku Kwetu Tanzania,ila Duniani huwez ongelea Sony kweny sound
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Kwishaasante mkuu but sina namna tena nimeshakula lose hapa. kwanza lg gan imeandikwa 'made by lg electronics, made in china'?
Hiyo spl unaipata wapi?Uwingi wa spika sio ukubwa wa sauti na wala ukubwa wa watts wa redio sio ukubwa wa sauti.
Sauti ambayo inarekodiwa na wanamuziki ni stereo kwa maana ina njia mbili mithili ya masikio yetu yalivyo.Radio ambazo ni home theater sio kwa ajili ya kusikilizia muziki ila ni kwa ajili ya kutazamia muvi mana kwenye muvi kila spika moja hupewa sauti maalumu kwa mfano kuna spika zinatoa sauti ya mazungumzo tu, kuna ambazo zinatoa sauti ya effect za kwenye muvi, kuna ambazo zinatoa sauti ya saund track na mambo mengine mengi na ndio maana ukizitumia kwenye mziki sauti haziwi kubwa sana kwa sababu spika ambazo zinafanya kazi huwa ni tatu tu( 2.1)spika moja ya kulia, moja ya kushoto na subwoofer.
Kitu kingine ni kwamba nguvu ya spika haipimwi kwa watt.Watt inaonyesha kiwango cha umeme ambao redio itatumia kwa muda fulani.Kiwango cha sauti kinapimwa na SPL yaani Sound pressure level.
Kadri Spl inavyokuwa kubwa ndo sauti nayo inakuwa kubwa. Kwahiyo redio kubwa ambayo ina watt kubwa na spl ndogo inazidiwa mdundo na radio ndogo ambayo inawatt ndogo ila spl kubwa.Kama shida yako ni sauti basi zingatia spl ila kama shida yako ni kujua redio inakula umeme kiasi gani basi zingatia watt.
Chukua Sony Hata Watts 300 Iko vema Pesa Inayobaki Elekeza Kwenye Matumizi Menginemkuu ninampango wa kuirudisha alieniagzia anaduka ila dukani kwake hakuwa na mziki huu nimemueleza kanielewa. kwahiyo michango ya wadau humu inanifunza vingi nilivyokuwa sivijui
Huko utakutana na majina makubwa wakina Bose, JBL,Denon,Klipch,Harman kardon,polk audio , Onkyo etcHuko Duniani ni kampuni ipi inafanya vizuri kwenye sound?
Okay...Huko utakutana na majina makubwa wakina Bose, JBL,Denon,Klipch,Harman kardon,polk audio , Onkyo etc
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app