Tzhacker 000
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 659
- 690
Wakuu Habarini Poleni na Majukumu,
Ebana Nina tatizo hapa nahitaji msaada kwa yoyote mwenye Uelewa Zaidi juu ya Hili Jambo..
Juzi kati hapa mwezi wa Pili Nilinunua HDD mbili Zote TB 2 Kampuni ni (SEAGATE) na Kuweka katika mashine yangu.
HP ELITE DESKTOP Core i5 Hazikupita hata wiki mbili Zile HDD zikaanza shida na Mwisho wa Siku zikaandika IDE DEVICE FAILED na kuacha Kusoma kabisa, nilirudi Pale dukani nilipozi chukulia nikabadilishiwa Zile HDD (nilihisi zilikuwa ni Mbovu tangiapo) basi nikapewa Zingine Mbili za Hivo hivo SEAGATE. Lakini nazo Hazikumaliza hata Mwezi tatizo likajirudia kama zile za Mwanzo (lile duka wakagoma Kubadilisha tena ikabidi nizipaki tu)
Mwezi wa Tatu juzi tu hapa nikaagiza TB 2 Nyingine kutoka Mwanza zile za kwanza Nilichukulia Dar Basi ikaja nayo ni SEAGATE kama zile zingine, basi nimeitumia Mpaka leo jion Hivi Kuna Muda Desktop yangu ili Stuck nikaizima kuja Kuiwasha Pale katika boot ili iamke ukaja tena ule ujumbe kama kipindi kile IDE DEVICE FAILED Press F1 to Boot basi nika Press mashine ikawaka ila Ile HDD haikuonekana tena ndo ikawa imekufa hivo
Sasa Nilitaka Kujua; Je, Tatizo litakuwa ni nini au Linasababishwa na nini? Kwa Sababu Ninazo HDD zingine Tatu Tofauti ambazo sio kampuni la SEAGATE huu mwaka wa 4 nazitumia ila hizi SEAGATE hazidumu hata mwezi mmoja kwangu..
Pamoja na Kuwa mi ni mtundu wa haya mambo ila Hapa nimechemka kuchanganua Hebu wajuvi mnisaidie mawazo yenu hapa tatizo lipo wapi? [emoji15] [emoji15].
Sent using Jamii Forums mobile app