Nimenunua gari kaniacha

Heehehehehe

Tatizo wanaume mnadanganyana

Ukiwa na gari unawang'oa tu.... Kikowapi sasa


Ila jichunguze vizuri

Corolla nalo gari? Bei yake si ni sawa na Toyo? gari haina hata nyama haina mvuto kabisa!!

±±
I'm a real thug so my rims scrub
No black and milds - The blunt filled up
I got a V-12 sweeter than the female
It feels like intercourse bucklin' the seatbelt
 
Point Tiba.
Sikumshirikisha kabisa but i thought itakuwa surprise nzuri ambayo hata yeye angefurahi. Na kweli nilipomuonyesha alionyesha furaha sana na akashangaa ila ndo hivyo baada ya siku mbili tatu ndo akanitwanga na msg.

This could be the reason. Siku moja nilitaka kumsuprise Mr. wangu nikaagiza gari kwa jina lake. Siku ya birthday yake nikamkabidhi documents. Mbona party ya birthday iliharibika, nashukuru ilikuwa ya kifamilia zaidi, hawakuwepo watu wa nje. Alinishutumu kwamba sikupashwa kutumia pesa yote hiyo bila kumshirikisha na maneno mengine kibao. Nililazimika kuomba radhi.

Kama bado unampenda, kamwombe radhi.

Tiba
 
pole sana, bt nionavyo mimi tatizo sio gari, bt endelea kufanya uchunguzi.
 
Mwaka tu nina corolla hauoni kama ni dalili nzuri!! Kweli nikikaa miaka mitatu na zaidi I won't go for rav4 nafikiri zaidi ya Rav4.
hukumshiriikisha wakati unanunua hiyo corolla?. shida inaweza kuwa ilianzia hapo.
 
Mleta mada acha kutuzingua, umekuja hapa kututambia kwamba una elimu ya chuo na umenunua Gari. Ukijenga nyumba utaitisha mdundiko mji mzima. Kweli umaskini noma.
 
kwan alikwambia anataka kuwa fundi makenika?
 
Wanawake tunatofautiana, sio kila mwanamke anapenda gari, pengine mweinzio alifikiri mngefanya kwanza mambo mengine ya maendeleao kama kununua kiwanja, au kujenga au kufungua mradi n.k pengine hamjawa na maisha stable kiasi cha kuanza na gari au pengine hukumshirikisha juu ya ununuzi wa hilo gari, so kaa nae muulize tatizo ni nini na pengine umuulize yeye anataka nini
Mwaka tu nina corolla hauoni
kama ni dalili nzuri!! Kweli nikikaa miaka mitatu na zaidi I won't go
for rav4 nafikiri zaidi ya Rav4.
 
Hahaha! Wacha nicheke kwanza! Haya sasa wanaume mnaosema UKIWA NA GARI Unapata warembo wa mujini KIKOAAAAAAAPIII!!! Shuutu!! Mwanaume mgegedo asikwambie mtu! Pyeeeeeeee! Weee mhudumu nileteee nyingine....!! Hii wikend itaniua wallah ingefupishwa!!

jilipue, bado kuna kesho tena.
 
Look I be ridin' threw my old hood,
But I'm in my new whip.

Same old attitude, but I'm on that new shit.
They say they gon' rob me, see me neva do shit.
Cause they know that's the reason that's gone
end up on a news clip.
Audemar on my wrist... BUSTDOWN!
We poppin' bottles like I scored the winnin'
touchdown.
Memba meek dead broke?
Look at me up now.
I run my city from south philly back to uptown.
Thank God all these bottles I popped,
All this paper I been gettin',
All these models I popped.
I done sold 100, 000 before my album got drop'd.
And I'm only 23, I'm the shit now look at me, look
at me.
I'm a boss like my nigga Rozay.
Shawty ask'd me for a check, I told that bitch like
"no way! "
Cause I made it from the bottom, it was neva no
way.
And I neva had a job, you know I had to sell
YAAAAY!
Bitch I'm a BOSS!
I call the shots.
I'm with the murder team,
Call the cops.
We in the building,
Ya'll are not.
You short on the paper, you gone ball or not?.
 
Mwaka tu nina corolla hauoni kama ni dalili nzuri!! Kweli nikikaa miaka mitatu na zaidi I won't go for rav4 nafikiri zaidi ya Rav4.
Tatizo ni kukopa pesa benki ili ununue hicho kikorola badala ya kufanya jambo la maana
 
Me nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa pili nlikuwa nikiishi geto. Basi nikajikakamua nikanunua jokofu na kuliweka geto ili nimsuprise mpenzi wangu....ofcourse alifurahi lakin baada ya siku mbili akanitumia sms akitaka tuachane nilimnembeleza ikashindikana kabisa na hakuna baya lolote nililomfanyia. Mpaka kesho nahisi tatizo lilikuwa ni friji tu nothing else...i don't know why?
 
Ameona hamuendani!!
 
umenunua usafiri badala ya gari mkuu, poleeee
 
Yaani nimegundua duniani humu hakuna wema. Wengine tunaona Corolla sawa na hamna kitu!!! Wengine katumia hela vibaya. Jamani kwa ulimwengu huu usafiri ni muhimu sana hasa kwa huo mji mkuu wa dasalama. Hebu muoneeno huruma mshkaji kajipinda jamani....one day atatupa taarifa kavuta kitu kikali
 
aiseeeee babayangu landa umenunua gari wakati nado unakaa nyumba ya kupanga au pingine umenunua gari la kunyonya mavi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…