donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,108
- 21,788
We ulitakaje kwani?Kwa hiyo tukusaidiaje?
Duh, kuna jamaa mmoja miaka ya nyuma ili kuwaonyesha watu kuwa ana 'mguu wa kuku' siku za weekend alikuwa anakaa barazani kwake na kuanza shughuli ya kusafisha 'mguu wa kuku' huku akipiga miluzi kwa lengo la kuwakoga watu...
Hahaha, una scope lens kabisaWacha niendelee kubaki na huu nguu wa Twiga.
HahahMwanao akitoka JKT itunze vizuri
BalaaaNasikia chicken legs watamu kwa kachumbari.
Hii ni kwa ma quick drawer kama sisi tu na wazee wa Russian roulettehuwa nachukia revolver, inachelewesha sana wakati wa ku load.
Duh, kuna jamaa mmoja miaka ya nyuma ili kuwaonyesha watu kuwa ana 'mguu wa kuku' siku za weekend alikuwa anakaa barazani kwake na kuanza shughuli ya kusafisha 'mguu wa kuku' huku akipiga miluzi kwa lengo la kuwakoga watu...
Nimeipenda sana duuuhDuh, kuna jamaa mmoja miaka ya nyuma ili kuwaonyesha watu kuwa ana 'mguu wa kuku' siku za weekend alikuwa anakaa barazani kwake na kuanza shughuli ya kusafisha 'mguu wa kuku' huku akipiga miluzi kwa lengo la kuwakoga watu...
Ni kweli unenayo mkuuUtatumia muda mwingi sana wewe kuilinda chicken leg na sio chicken leg kukulinda wewe
Hii wazee wa kazi wakikutembelea, unajiset umbali wa yard 100 au 150 unamuondoa mmoja mmoja.Hahaha, una scope lens kabisa
Kama unacheza call of duty vile au sniper elite. Tatizo aisee kibongobongo huruhusiwi kumiliki assault rifflesHii wazee wa kazi wakikutembelea, unajiset umbali wa yard 100 au 150 unamuondoa mmoja mmoja.