Nimemwambia aachane na Habari za Kuoa. Afanye issues nyingine kwanza

Hata hivyo nadhani hujaelewa.kwanza nilikuwa sikujibu wewe nilimjibu aliesema eti ntaingia ndoano univue. Na mm ndo nikamjibu kuwa siwezi vuliwa na watoto wadogo. Na sio kila mtu anaecomment uzi zako lazima akutamani. Ndicho nilichojaribu kumjibu alonambie eti utanivua.
Rudi page ya 2 uone kwa nini nilimjibu hivyo huyo membe na sio wewe.
Na nilimjibu hivyo coz naamini nakuzidi umri.
Hawezi from no where aniambie eti utanivua as if ananijua. Ilibidi nimjibu coz i have my class. Mm ni tofauti kabisa na watoto wa humu.ambao anahisi wanaweza vuliwa kirahisi.
Rudi usome ujuwe nilikuwa namjibu nani na sio wewe.
 
Hivi hao wote unaowaona wameoa wanayo hayo maisha unayolazimisha...!?
Kila mtu ana level yake ya maisha watu wanaoa na wana laki mbili tu na maisha yanaenda fresh tu...
 
Swali langu mimi ni lile lile mkuu ile Mark II iko wapi? Ulikua una cruise nayo mitaa ya barakuda...kupitia vingunguti...daah ile picha yako hahahaah
 
Katika ubora wako, karibu tena mzee baba!!

NB: Ujumbe umefika!
 
Alaf mwanamke mwenyew ukute ni screpa zaidi ya siso.. izi ghalama labda nioe princess lakin sio awa wa uswahilin
 
Its very stupid to think unanizidi umri wakati hunifahamu. Ndo maana nikakwambia kama humfahamu mtu jiheshimu tu wewe inatosha. Hunifahamu na hufahamu umri wangu. Elewa tu hilo ndo la msingi zaidi. Napenda kumheshimu mtu yeyote hata kama nimemzidi akili,uwezo na uelewa. Huoni nikimjudge anybody. Nasisitiza tu. Just respect yourself as well as others. I am done.
 
Tuhamie love connect tu
 
Kwa hiyo kusema nakuzidi umri ndo unimiminie haya matusi yote? Sawa kuanzia leo ntajiheshimu ila na wewe heshimu ndomo wako unaotoa matusi kiasi hiki.after all nyuzi za kusoma zipo nyingi sio zako.
 
Kwa hiyo kusema nakuzidi umri ndo unimiminie haya matusi yote? Sawa kuanzia leo ntajiheshimu ila na wewe heshimu ndomo wako unaotoa matusi kiasi hiki.after all nyuzi za kusoma zipo nyingi sio zako.
Sijakutukana mimi sikuwahi fundishwa matusi sometimes nawalaumu wazazi wangu kunilea hivyo. Nitajiabisha sana kama ntatukanana na mtu hasa wewe.ktik hilo amini huwa situkani mtu yeyote.

Nasisitiza hunifahamu nami sikufahamu. Ibaki hivyo tu. There are so many threads to read. Aint nobody who gonna blame you for not reading their threads. Just respect everybody in the hood. Espec those you know nothin bout dem.

And dont force people to treat you like a trash just because of your background and the hood you were risen. Let just everybody sees good in you even though it aint so.
 
Tunakupata vyema hku Mwanza 98.06 Mpenda sifa fm.

Bro naona hoja yako haina nyama za kutosha, usimlazimishe mwenzio kufanya mambo ambayo yapo chini ya uwezo wake,
Kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake, japo kujipanga ni mhimu.
 
Kuwa na uwezo wewe sio lila mtu anao kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake
 
Erick shigogo njoo umchukue mwanafunzi wako wa story za kusadikika, hahahaha, jamaa hauoni aibu kutudanganya wanaume wenye nywele zetu sehemu tatu za mwili🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…