Nimemwaga mboga...lakini nafsi inanisuta.

kuna vitu vingi vinajitokeza hapa
1. jamaa hajimiani na mkewe anahisi anytime wajanja watamuiba
2. mke wa jamaa ambaye yupo rita bado anamzimia ex wake(nduka)
3. jamaa mwenye mke rita ni macho juu juu so anaamini kabisa hiyo chance angepata yeye ya kudeal na x wake lazima angelala naye kwa hiyo anahisi the same will apply to his wife
4. ana wivu kupiliza may be he's obssessed
5. jamaa ameshindwa kusolve tatizo na mkewe kwa kukuhusisha wewe hadi kuwekeana vikao
6.kwa kuwa una namba zao za simu tuma msg kuwaeleza ulichokifanya kilikuwa na nia kujidefend baada ya wewe kuona mamluki,na sikweli kuwa ulitembea na huyo mwamanke, ingawa itakuwa ngumu kueleweka bt it might help kama bado wanaitaka hiyo ndoa
7. mkuu ndaku wewe ni nomaaaaa nadhani hiyo ndoa umeshaisambaratisha!
 
Hata najichukia sana kwa hili, leo siku nzima sikuwa poa. Nipe hekima yako nawezaje kuirekebisha hii hali?

usijichukie mkuu,....yatapita ingawa yanaumiza_jitahidi ucrudie makosa kama haya.
 
6.kwa kuwa una namba zao za simu tuma msg kuwaeleza ulichokifanya kilikuwa na nia kujidefend baada ya wewe kuona mamluki,na sikweli kuwa ulitembea na huyo mwamanke, ingawa itakuwa ngumu kueleweka bt it might help kama bado wanaitaka hiyo ndoa!

Hapo ndipo nataka ushauri wenu, nitaanza vipi kuwatumia sms, wakati sijui hata wamepokeaje huu ujinga wangu.

huitaji kusikia vibaya now

jaribu kuongea nao tena

Mkuu kuongea nao ni hatua ya kwanza kweli au nitafute mediator?
 
kuna vitu vingi vinajitokeza hapa
1. jamaa hajimiani na mkewe anahisi anytime wajanja watamuiba
2. mke wa jamaa ambaye yupo rita bado anamzimia ex wake(nduka)
3. jamaa mwenye mke rita ni macho juu juu so anaamini kabisa hiyo chance angepata yeye ya kudeal na x wake lazima angelala naye kwa hiyo anahisi the same will apply to his wife
4. ana wivu kupiliza may be he's obssessed
5. jamaa ameshindwa kusolve tatizo na mkewe kwa kukuhusisha wewe hadi kuwekeana vikao
6.kwa kuwa una namba zao za simu tuma msg kuwaeleza ulichokifanya kilikuwa na nia kujidefend baada ya wewe kuona mamluki,na sikweli kuwa ulitembea na huyo mwamanke, ingawa itakuwa ngumu kueleweka bt it might help kama bado wanaitaka hiyo ndoa
7. mkuu ndaku wewe ni nomaaaaa nadhani hiyo ndoa umeshaisambaratisha!

Nduka, Ndumu
Hiyo namba sita ni muhimu kufanya, mweleze jamaa kuwa udwanzi wake wa kuwaita watu ndio ulisababisha wewe ku react vile lakini ulikuwa umedanganya tu. Usimtumie yule dada, mweleze kuwa hukufanya anachofikiria na alikuudhi sana kuleta kesi isiyokuwa na msingi kwa watu wengine na unawaheshimu wote na hutaki mawasiliano nao tena kuepuka huo usumbufu.

Samahani kwa kukuita ndumu, ila mzee hiyo quick thinking uliyofanya umenimaliza nimekumbuka wakati natumia ndumu, ndio nilikuwa na react namna hiyo!! Du we kiboko muzee nduka/mu.
 
Pole,ila akili zako za kutetea mafisadi humu uwe unaziweka pembeni unapo deal na watu
 
zis is kantankaras!!!!!!!!!!!!!!!
Ahahahahaah!! Bishanga umenikumbusha enzi za o level tulikuwa tunaongea maneno yasiyoeleweka tukijidai ni wazuri katika lugha ya malkia, hilo neno lilikuwa mojawapo!
 
hapo ndipo nataka ushauri wenu, nitaanza vipi kuwatumia sms, wakati sijui hata wamepokeaje huu ujinga wangu.

Mkuu kuongea nao ni hatua ya kwanza kweli au nitafute mediator?

mediator anaweza kuharibu zaidi...
 
huitaji kusikia vibaya now

jaribu kuongea nao tena

mhhhhhhhh!..yaani hapo ndipo ninapokiri keli Mungu katuumba tofauti_maake mimi nilivyo na kislani hata ex_wa girlfriend wangu sitaki kukaa naye karibu(thanx God hata simfahamu na wala sitaki kujua habari zake..hope hata wenzangu wenye hulka kama zangu hawataki kujua).,,sembuse mwanamke niliyemuoa alete ex wake eti tuongee,.....yaaani sijui
 
Hata mimi niko kama wewe! yaani kuna watu ni wadwanzi sana, sasa zaidi ya hapo unaleta na watu eti washuhudie!! kwa kweli simlaumu Nduka ku fanya alichofanya.
 
Back
Top Bottom