Yaelekea ulishamwaga wengi sana.. mimi sijazoea kabisa...najua kupenda tu...wala sishtuki manake kumwaga/kumwaga ni vitu nilivyovizoea
Lakini kama issue ni kupigiwa simu, kwanini yeye asingenipigia mimi kwanza? Ishu nyingine inayoniuma zaidi kwanini akimbilie kusema nilikuwa na mtu mwingine bila kujua kilichonisibu nisimpigie simu?wewe the whole day ulikuwa wapi? Hata kama ningekuwa mimi ningefikiri, u were busy with another, then usiku huo ulimpigia ili tu ionekane ulimkol on V day!
Huyo anakutafutia sababu tu hana lolote...kama mapenzi unamuoneshea siku zote haina maana akununie kisa hukumtafuta mapema siku ya valentine..labda kama ana jingine. Na akiendelea kuuchuna ujue kuwa alikuwa kalipanga hilo litokee..wala usiumize kichwa sana akunyimae kunde kakuounguzia mashuziii....Girl Friend wangu kanimwaga kisa nilichelewa siku ya father Valentine. Nilimpigia saa 3 usiku. Hakupokea baadae siku ya pili akaniambia yeye na mimi basi. Kwasababu sikumpigia simu mchana mzima nikaja kumpigia usiku. Sijielewi, nifanyeje?
Labda amekumwaga kwa sababu hujui kiswahili. Rekebisha title, kumwaga na kumwagwa ni vitu tofauti.
wala sishtuki manake kumwaga/kumwaga ni vitu nilivyovizoea