Nimemwaga kisa VALENTINE day.

kijana kwani shida ipo wapi baada ya kukumwaga?we si ndio MALOVA mzee wa ma-love love!songa mbele mjomba ila usirudie tena kuonyesha dalili za ma-player siku ya valentine!watu wanaosaliti wenzao siku hiyo hufanya kama ulivyofanya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom