Nimemwacha aende zake

Nimemwacha aende zake

Unaambiwa unajua danga na bado unaleta mapenz ya dhat
Yaan mie hata naul asingelamba dadekii zake
Kweli kabisa unampa nauli ya nini.Mwanamke akiwa na mpenzi wake na bado anachati na mwanaume mwingine huyo hatari tena umuogope kama ukoma full stop.
 
Mkutane angaza kesho wote watatu na viatu vya chuma ili msije mkakimbia pekupeku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uzuri ni kuwa mimi sio muuza mechi tokea mwaka juzi nilivyopima ngoma nikawa salama sijawahi kula nyama kwa nyama ni mwendo wa nyama kwa kongoro
 
Haya yananikuta na mimi jamani ninakadem ka miaka 20 ka uswazi. Akija ghetto anataka achukue chakula akale na wa kwao...baba, mama na mdogo wake. Ukimpa hela akanunue chakula mgahawani kama vile wali akija anasema ana njaa, anaenda kuwapa baba na mama yake ambayo huwa ni 2000, au 1500/- tu halafu baadae anakuja anasema "dah najisikia njaa" ili nijiongeze nimpe tena hela ya chakula!! Ukimuuliza kwani nyumbani hujala anasema "hatujala vya kueleweka tangu juzi sema tushazoea tu ila mara nyingi kwetu tunashinda njaa na kulala njaa unaeza ukaniona kama nimekula kumbe walaa"

Saa zingine ashawahi kunambia yaani siku zingine nikikuomba hela kwa kukuambia sababu fulani huwa nakudanganya tu ili unipe angalau mama na mdogo wangu wakale mi naweza kuvumilia na kushinda njaa nikipata kahela ila hawa lazima wale" halafu anaanza kulia na kusema maisha kwao magumu sana.

Siku moja ashawahi kunambia anafikiria wasafiri familia nzima wakapate ajali wafe wote tu ili waondokane na dhiki ya maisha! Nilishangaa sana! Hii inanifanya niwe nakapa hata 10, 000/- mara kwa mara ili wakale, maana yeye hats akiomba hela anaomba kati ya sh. 500 hadi sh.3000 tu ...Hatari sana.

Nimechoka kwa sababu ananipa stress na mimi sababu mpaka najisikia kama ni sehemu ya familia yao hasa akianza kulia ghettoni kwa sababu ya maisha ya kwao!!!
 
Pole mkuu

Nikiri kwamba kudate na videmu age kama ya 20 yrs tena kutoka uswahilini familia njaa ni tabu

Nilikua na binti ana umri wa miaka 20 sasa,binti huyu alikua Hana majibu ya busara kwangu,hajui kutuma msg wala kupiga simu hadi nianze Mimi
Nimeshalala nae Sana lakini nkagundua umri kikwazo manake anaonekana ni kwenye tamaa anataka kila starehe apitie
Juzi nlikua nae ghetto nikamgegeda Sana ,mwisho akaniambia unajua maana ya "Danga" nkamwambia sijui akaniambia ni "buzi la kulichuna
Sasa hapa kuna buzi huwa namchuna chuna lakini sijawahi kumpa uchi" akawa anachat nae
Kwa Kuwa nilishamgundua tangu zamani life style yake wala sikuumia ,nikamgegeda tena tukasepa mtoto kang'ang'ania nauli wakati wote tunaenda njia moja so ningemlipia,nikaona sio kesi huyu anataka Tu hela nikampa na nauli nikamlipia
Sasa leo yapata Siku ya 3 kachuna nami nkasema ngoja nichune nione kama atanitafuta nkaona kimya hadi jioni hii nlivyomtext " Mpaka Mimi nianze kukutafuta na kukujulia hali lakini wewe huwezi anza Fanya hivyo"
Jibu nlilopewa "Wewe unajua naendeleaje na Kwa nini usiulize nipo kimya,unakurupuka Tu kutuma msg yako,kama unaona unaanza kunitafuta wewe kila Siku acha na namba yangu futa kabisa uone kama utapata hasara yoyote"
Kiukweli sijamjibu na hapo hapo nikadelete namba zake zote

Kitu nlichojifunza ni kwamba hawa mademu wadogo tena wa uswazi hawana mapenzi kabisa ,hawana busara wala majibu ya kistaharabu
Huyu manzi nimemsaidia vingi sana lakini daaah Hana shukurani
Hata hivyo nashukuru nimeamua kumwacha jumla sitamrudia tena kama ilivyokua mwanzo manake tuliwahi kuachana but tukarudiana
Sasa najisikia mwepesi manake akija ghetto ilikua lazima nijipange mtoto anapenda Kula vinono hii yote ni njaa Tu ya huko kwao.
Kwanza pole pia napenda kukuambia huyo bint sio mdogo kwa karne hii ni mkubwa kabisa tena wa uswahilini wanaingia kwenye vile vibanda vya picha za ngono wakiwa na miaka 6

Sasa huyo ujue ana watu wengi sana ana wachuna nimeanza kukuambia pole kama hukutumia kinga......
 
Hakuna cha wadogo wala wakubwa,wote wanafanana tu...Tafuta jinsi ya kuishi nao ndio mtaelewana! Ushauri wangu,hiki sio kipindi cha kupenda kupenda hovyo utakufa kwa presha wengi ni wajasiriamali wa kujitegemea.
 
Tabu fatou Tabu fatou, Tabu fatou Tabu fatou Tabu fatou
 
Nikiri kwamba kudate na videmu age kama ya 20 yrs tena kutoka uswahilini familia njaa ni tabu

Nilikua na binti ana umri wa miaka 20 sasa,binti huyu alikua Hana majibu ya busara kwangu,hajui kutuma msg wala kupiga simu hadi nianze Mimi
Nimeshalala nae Sana lakini nkagundua umri kikwazo manake anaonekana ni kwenye tamaa anataka kila starehe apitie
Juzi nlikua nae ghetto nikamgegeda Sana ,mwisho akaniambia unajua maana ya "Danga" nkamwambia sijui akaniambia ni "buzi la kulichuna
Sasa hapa kuna buzi huwa namchuna chuna lakini sijawahi kumpa uchi" akawa anachat nae
Kwa Kuwa nilishamgundua tangu zamani life style yake wala sikuumia ,nikamgegeda tena tukasepa mtoto kang'ang'ania nauli wakati wote tunaenda njia moja so ningemlipia,nikaona sio kesi huyu anataka Tu hela nikampa na nauli nikamlipia
Sasa leo yapata Siku ya 3 kachuna nami nkasema ngoja nichune nione kama atanitafuta nkaona kimya hadi jioni hii nlivyomtext " Mpaka Mimi nianze kukutafuta na kukujulia hali lakini wewe huwezi anza Fanya hivyo"
Jibu nlilopewa "Wewe unajua naendeleaje na Kwa nini usiulize nipo kimya,unakurupuka Tu kutuma msg yako,kama unaona unaanza kunitafuta wewe kila Siku acha na namba yangu futa kabisa uone kama utapata hasara yoyote"
Kiukweli sijamjibu na hapo hapo nikadelete namba zake zote

Kitu nlichojifunza ni kwamba hawa mademu wadogo tena wa uswazi hawana mapenzi kabisa ,hawana busara wala majibu ya kistaharabu
Huyu manzi nimemsaidia vingi sana lakini daaah Hana shukurani
Hata hivyo nashukuru nimeamua kumwacha jumla sitamrudia tena kama ilivyokua mwanzo manake tuliwahi kuachana but tukarudiana
Sasa najisikia mwepesi manake akija ghetto ilikua lazima nijipange mtoto anapenda Kula vinono hii yote ni njaa Tu ya huko kwao.

hauko pekeako ndugu ...mim ni mkaka mtu mzima mwenye akili zake timamu ..mim ni mdogo kwake yaani lakini yeye kunipigia simu hawezi hata siku moja mimi ndo ninampigia mara zote ndugu yangu ...naweza piga inaita mpaka inakata sikati tamaa naendelea kumtafuta hanipi vocha wala hela yake useme ndo nafanya hivyo hakuna ,,,kwa sababu nimempenda lakini haoni thamani ya upendo wangu kwake ...ipo siku atakumbuka shuka wakati kumekucha.....
 
Back
Top Bottom