Nimemwacha aende zake

Nimemwacha aende zake

Kwa mwanaume unayetaka kuwa na mtu sahihi Anza kufanya choice kuanzia wanawake wenye Miaka 24 Na kuendelea under Hapo Aisee ni pasua kichwa Otherwise Fanya nao kama u friend with Benefit
 
Kuna watu wengine huwa mna matatizo huyo anakuumizaje kichwa? Huyo ni wa kumtafuta ukiwa na njaa tu. Wala hata asikupotezee muda maana anaonekana ana wengi. Na yule mwanaume alukwambia huwa anamchuna na hajampa, kwa taarifa yako anampa lakini alikuwa anakutaarifu kuwa umezidi ubahiri hata ya nauli hunipi unanilima tu.
 
Duuuh sio kwa cheko hilo, kipi kikufurahishacho
Hahehehe..amenikumbusha mbali...sana..mie nilikua nae wa hivyo kalikua na miaka 19.mie nilikua najibiwa hovyo..ukimuliza mbona hunijuli hali..najibiwa Niko bizy!!nikamwambia ukitaka pesa....uwe tayari kuinama......eti akakasirika....eti nilitaka kumtumia tu!!!wakati yeye ndo alikua ananitumia Mimi....!!!kesho yake SAA moja jioni...kanatuma SMS nakuja!!!!nikajimbu tayari uko deleted!!!
 
Ndo muache sasa kudate na vitoto mana huko ndo mnapewaga yale majibu ya your not my type
 
Pole sana, bwana hilo ni fundisho nakwa midume mingine, wanaume wanadharau sana wanawake wastaarabu na wanaojua kujali mwishowake anasema wachanga ndo wazuri lkn ona sasa
 
Vibinti under20 waachieni wanaoendana nao maana hata akili zao zinafanana, sasa mwanaume wa miaka 28..... Nakuendelea unataka kuwa na future na binti wa under20 labda umfinyange wako mwenyewe
 
Nimesoma hii stori kwa masikitiko makubwa... Me mwenyewe nina kademu kama hako kananisumbua sana

Najaribu kukafanyia mambo mazuri na kumtimizia haja zake lakin hakapendeki... Hii siku ya 3 ajanichek kwa simu anasubir hadi nimuanze mimi..fvck love
 
Back
Top Bottom