Nimemwacha aende zake

Nimemwacha aende zake

Ndo muache sasa kudate na vitoto mana huko ndo mnapewaga yale majibu ya your not my type
[emoji51] [emoji51] hili jibu alipewaga mwanangu mmoja wakati tupo advance...mshkaji aliumia sana
 
Usha wahi ona movie inaitwa the perfect match? Ndio utajua hakuna uplay boy kweny mapenz[emoji3] [emoji3]
sjawahi iona asee
ika kuna ma play boy huwa hawaumii, au bas wana pretend hawaumii na ukisha jiita play boy ndio hivooo
 
sjawahi iona asee
ika kuna ma play boy huwa hawaumii, au bas wana pretend hawaumii na ukisha jiita play boy ndio hivooo
Itafute mkuu The perfect match 2016

Charlie is a playboy who's convinced that relationships are dead. His two best friends bet him that if he sticks to one woman for one month, he's bound to get attached. Charlie denies this until he crosses paths with the beautiful and mysterious Eva. They may agree to a casual affair, but eventually Charlie is questioning whether he may actually want more.

Uplayboy unafika kikomo unapenda mwenyew...ndio jamaa kilichomkuta
 
Me kuna mmoja nilikuwaga naye alikuwa anakaa na Dada ake halafu life likawa linawapga chenga kimtindo kupiga deshi ya asubuhi na mchana halafu jion wakalalia uji ni kawaida so sometime asubuh namuulza umekunywa chai anasema hawana kitu so nkawa naenda dukan nachukua mazaga yote kuanzia Mchele ,unga maharage mafuta mpaka sabuni ya kufulia, halafu siku tumekuja kuachana kanantangazia eti kalikuwa kananichuna, nkakapa shit za maana nikakaambia kuwa nilikuwa nakasitiri na njaa kwa akili zake za kimaskini badala ya kushukuru kenyewe kanaona eti kilikuwa kinanichuna
 
Itafute mkuu The perfect match 2016

Charlie is a playboy who's convinced that relationships are dead. His two best friends bet him that if he sticks to one woman for one month, he's bound to get attached. Charlie denies this until he crosses paths with the beautiful and mysterious Eva. They may agree to a casual affair, but eventually Charlie is questioning whether he may actually want more.

Uplayboy unafika kikomo unapenda mwenyew...ndio jamaa kilichomkuta
hahahaha
we jamaa bonge ya narrater, inaonekana umesomea film and theater Arts, maana ume i review movie kama uliwahi ifanyia assignment
asee ntaitafuta hiyo
 
Nikiri kwamba kudate na videmu age kama ya 20 yrs tena kutoka uswahilini familia njaa ni tabu

Nilikua na binti ana umri wa miaka 20 sasa,binti huyu alikua Hana majibu ya busara kwangu,hajui kutuma msg wala kupiga simu hadi nianze Mimi
Nimeshalala nae Sana lakini nkagundua umri kikwazo manake anaonekana ni kwenye tamaa anataka kila starehe apitie
Juzi nlikua nae ghetto nikamgegeda Sana ,mwisho akaniambia unajua maana ya "Danga" nkamwambia sijui akaniambia ni "buzi la kulichuna
Sasa hapa kuna buzi huwa namchuna chuna lakini sijawahi kumpa uchi" akawa anachat nae
Kwa Kuwa nilishamgundua tangu zamani life style yake wala sikuumia ,nikamgegeda tena tukasepa mtoto kang'ang'ania nauli wakati wote tunaenda njia moja so ningemlipia,nikaona sio kesi huyu anataka Tu hela nikampa na nauli nikamlipia
Sasa leo yapata Siku ya 3 kachuna nami nkasema ngoja nichune nione kama atanitafuta nkaona kimya hadi jioni hii nlivyomtext " Mpaka Mimi nianze kukutafuta na kukujulia hali lakini wewe huwezi anza Fanya hivyo"
Jibu nlilopewa "Wewe unajua naendeleaje na Kwa nini usiulize nipo kimya,unakurupuka Tu kutuma msg yako,kama unaona unaanza kunitafuta wewe kila Siku acha na namba yangu futa kabisa uone kama utapata hasara yoyote"
Kiukweli sijamjibu na hapo hapo nikadelete namba zake zote

Kitu nlichojifunza ni kwamba hawa mademu wadogo tena wa uswazi hawana mapenzi kabisa ,hawana busara wala majibu ya kistaharabu
Huyu manzi nimemsaidia vingi sana lakini daaah Hana shukurani
Hata hivyo nashukuru nimeamua kumwacha jumla sitamrudia tena kama ilivyokua mwanzo manake tuliwahi kuachana but tukarudiana
Sasa najisikia mwepesi manake akija ghetto ilikua lazima nijipange mtoto anapenda Kula vinono hii yote ni njaa Tu ya huko kwao.
[emoji121]
WEKA PICHA KWANZA.
 
Hahahaaaa... Pouleeee
 
Umefeli sehemu moja tu "nimemsaidia vitu vingi"hapo ndo ulifanya ujinga...hivi wanaume wenzangu mnawezaje kughalamikia mwanamke mjinga mjinga...mbona wanawake ambao wanajielewa atleast unaweza sema unampa hizo care wapo wengi tu..unagharamikia mwanamke zezeta mwisho wa siku si ndo dharau kama hizi
 
Haya yananikuta na mimi jamani ninakadem ka miaka 20 ka uswazi. Akija ghetto anataka achukue chakula akale na wa kwao...baba, mama na mdogo wake. Ukimpa hela akanunue chakula mgahawani kama vile wali akija anasema ana njaa, anaenda kuwapa baba na mama yake ambayo huwa ni 2000, au 1500/- tu halafu baadae anakuja anasema "dah najisikia njaa" ili nijiongeze nimpe tena hela ya chakula!! Ukimuuliza kwani nyumbani hujala anasema "hatujala vya kueleweka tangu juzi sema tushazoea tu ila mara nyingi kwetu tunashinda njaa na kulala njaa unaeza ukaniona kama nimekula kumbe walaa"

Saa zingine ashawahi kunambia yaani siku zingine nikikuomba hela kwa kukuambia sababu fulani huwa nakudanganya tu ili unipe angalau mama na mdogo wangu wakale mi naweza kuvumilia na kushinda njaa nikipata kahela ila hawa lazima wale" halafu anaanza kulia na kusema maisha kwao magumu sana.

Siku moja ashawahi kunambia anafikiria wasafiri familia nzima wakapate ajali wafe wote tu ili waondokane na dhiki ya maisha! Nilishangaa sana! Hii inanifanya niwe nakapa hata 10, 000/- mara kwa mara ili wakale, maana yeye hats akiomba hela anaomba kati ya sh. 500 hadi sh.3000 tu ...Hatari sana.

Nimechoka kwa sababu ananipa stress na mimi sababu mpaka najisikia kama ni sehemu ya familia yao hasa akianza kulia ghettoni kwa sababu ya maisha ya kwao!!!
Ina mana kwao amna hata mmoja mwenye shughuli za kufanya.

Kama unaweza embu ongea na huyo binti ni shughuli gani anaweza kufanya umuwezeshe. Si sawa na kumpa mtu kila siku hela. Ipo siku na wewe utakwama, itakuaje!
 
Matatizo mengine ya kujitakia......demu nikishamla hata hanisumbui kichwa akitaka aende tu
 
When it's time to move on, do it. Otherwise you end up being pulled in a direction you were never meant to go in, stuck having to backtrack.
 
Back
Top Bottom