Mzee Chapuuka
Member
- Apr 21, 2017
- 97
- 243
Nikiri kwamba kudate na videmu age kama ya 20 yrs tena kutoka uswahilini familia njaa ni tabu
Nilikua na binti ana umri wa miaka 20 sasa,binti huyu alikua Hana majibu ya busara kwangu,hajui kutuma msg wala kupiga simu hadi nianze Mimi
Nimeshalala nae Sana lakini nkagundua umri kikwazo manake anaonekana ni kwenye tamaa anataka kila starehe apitie
Juzi nlikua nae ghetto nikamgegeda Sana ,mwisho akaniambia unajua maana ya "Danga" nkamwambia sijui akaniambia ni "buzi la kulichuna
Sasa hapa kuna buzi huwa namchuna chuna lakini sijawahi kumpa uchi" akawa anachat nae
Kwa Kuwa nilishamgundua tangu zamani life style yake wala sikuumia ,nikamgegeda tena tukasepa mtoto kang'ang'ania nauli wakati wote tunaenda njia moja so ningemlipia,nikaona sio kesi huyu anataka Tu hela nikampa na nauli nikamlipia
Sasa leo yapata Siku ya 3 kachuna nami nkasema ngoja nichune nione kama atanitafuta nkaona kimya hadi jioni hii nlivyomtext " Mpaka Mimi nianze kukutafuta na kukujulia hali lakini wewe huwezi anza Fanya hivyo"
Jibu nlilopewa "Wewe unajua naendeleaje na Kwa nini usiulize nipo kimya,unakurupuka Tu kutuma msg yako,kama unaona unaanza kunitafuta wewe kila Siku acha na namba yangu futa kabisa uone kama utapata hasara yoyote"
Kiukweli sijamjibu na hapo hapo nikadelete namba zake zote
Kitu nlichojifunza ni kwamba hawa mademu wadogo tena wa uswazi hawana mapenzi kabisa ,hawana busara wala majibu ya kistaharabu
Huyu manzi nimemsaidia vingi sana lakini daaah Hana shukurani
Hata hivyo nashukuru nimeamua kumwacha jumla sitamrudia tena kama ilivyokua mwanzo manake tuliwahi kuachana but tukarudiana
Sasa najisikia mwepesi manake akija ghetto ilikua lazima nijipange mtoto anapenda Kula vinono hii yote ni njaa Tu ya huko kwao.