Nimemvunja moyo sana mke wangu, kama una chochote cha kuniambia au kunishauri wewe nishauri tu

Msimtukane msimbeze Wala kumdharau, amekiri kosa na amekuja kuomba ushauri kwetu, wapo wanaotembea na watoto wao wapo wanaotembea na ndugu za mke au mme, wapo wanaokula wasaidizi wa kazi za ndani, wapo humu humu JF! Huyu amefanya kosa kubwa kaja mbele zenu na kukiri hadharani bado mnamuongezea adhabu juu ya adhabu! Shame on u guys! Nyie ni wema kiasi gani kwa wapenzi wenu??
Mkuu kwakua umekiri kuwa umetenda dhambi kuu, nenda kwa mkeo na mtu yeyote anaheshimika kwenu wote kisha kiri na uombe msamaha wa dhati na ujutie dhambi zako zote, kisha mwambie mkeo na rafiki yake wakusamehe kabisa na usije rudia kumtongoza mtu yeyote wa karibu na mkeo kama huwezi kuacha usaliti wanawake wako wengi tu hata humu JF wapo!!
 
Tamaa mzee shida ni tamaa, hivi kwanini huwa mnapenda kusema wanaume sisi hatuwezi kuishi na mwanamke mmoja hiyo mentality aliekuambia nani, ulisikia wapi, jisemee nafsi yako mkuu, sema wewe huwezi kukaa na mwanamke mmoja, ni kujiendekeza tu
Wise words from a great thinker

maneno kama haya huwa yana nguvu na yamebeba maana nzito hasa kwa kuwa yamesemwa na jinsia husika

amina sana mkuu
 
Utulie sasa maana ulichokuwa unakitafuta kwa muda mrefu tiyari umeshakipata.

Nampa pole sana mke wako
 
Na Mimi naunga mkono kuna wanaume niwaaminifu mpaka unatamani umwambie kachepuke.
Mpaka unaingia na ushawishi unatamani umwambie aende akachepuke yes, ni kweli kwamba haya mambo ni namna mtu unavyoyachukulia, mambo ya kuchepuka ni hulka ya mtu tu, unaweza ukaishi na bila hata kutamani kuchepuka na maisha yakendelea, mwanamke ukiwa na mtoto halafu unalikuta li mwanaume huko limetamani hadi housegal linamla kuna wanaume wenzangu ni wachafu sana, hii tabia naikemea kabisa
 
Kaka yangu katika ubora wako...
 
Hakuna mwanaume asiemsaliti mke wake kwenye hii kauli yako mimi nitoe

waweke wanaume wengine mimi fanya kunitenga na dhambi cheap cheap hizo

nafanya zile heavy duty dhambi hivyo vidhambi vyakukosa la kujitetea badae sifanyagi asee...
 
Kaka yangu katika ubora wako...
Na wewe msista wangu wa nguvu oleeee wako uniletee shemeji atakae kuumiza kisa amechepuka utanikoma , unajua wachepukaji ni rahisi sana kumjua, usithubutu ukaingia nae kwenye ndoa , shetani atatumia hiyo weakness kuwavuruga mpaka muwe machizi
 
Dahhhh.....
Yaani kunya unye kule, alafu mavi uje uturushie huku...☹️☹️
 
Hakuna mwanaume asiemsaliti mke wake kwenye hii kauli yako mimi nitoe

waweke wanaume wengine mimi fanya kunitenga na dhambi cheap cheap hizo

nafanya zile heavy duty dhambi hivyo vidhambi vyakukosa la kujitetea badae sifanyagi asee...
Teh teh
 
Kuna vitu ukifanya hata mkeo utashindwa kumtawala

Nadhani hii ni ndo sababu kuna mtu anaongea kauli moja na mkewe anamsikiliza na mwingine anaongea kauli kumi na bado mwanamke anapuuza...

Hata ukiwa malaya vip Inapaswa UKOME kumtongoza ndugu wa mkeo,rafiki zake,majirani na mtu yeyote ambaye mkeo anamjua.Hii ni dharau kubwa sana na matokeo yake utashindwa kumtawala mkeo nyumba itakuwa na wanaume wawili mda si mrefu Utasema A atafanya B.

Sasa wewe ni limbukeni haujaishia tu kwenye umalaya umeenda mbele zaidi ni mshamba wa wanawake si ajabu hata mdogo wa mkeo akikuchekea unaweza kulala nae.
 
Mpaka unaingia na ushawishi unatamani umwambie aende akachepuke yes, ni kweli kwamba haya mambo ni namna mtu unavyoyachukulia, mambo ya kuchepuka ni hulka ya mtu tu, unaweza ukaishi na bila hata kutamani kuchepuka na maisha yakendelea, mwanamke ukiwa na mtoto halafu unalikuta li mwanaume huko limetamani hadi housegal linamla kuna wanaume wenzangu ni wachafu sana, hii tabia naikemea kabisa
Ha ha ha ha hah yaani kuna wanaume wapoleee wastaarabuu mpaka huruma,

Afu kicheche mmoja anawachafua wote.
 
Kuna vitu ukifanya hata mkeo utashindwa kumtawala

Nadhani hii ni ndo sababu kuna mtu anaongea kauli moja na mkewe anamsikiliza na mwingine anaongea kauli kumi na bado mwanamke anapuuza...

Hata ukiwa malaya vip Inapaswa UKOME kumtongoza ndugu wa mkeo,rafiki zake,majirani na mtu yeyote ambaye mkeo anamjua.Hii ni dharau kubwa sana na matokeo yake utashindwa kumtawala mkeo nyumba itakuwa na wanaume wawili mda si mrefu Utasema A atafanya B.

Sasa wewe ni limbukeni haujaishia tu kwenye umalaya umeenda mbele zaidi ni mshamba wa wanawake si ajabu hata mdogo wa mkeo akikuchekea unaweza kulala nae.
Mwambie huyo,,,

Afu ukute naniliu yake imelegea koo badala iwe siri ya mkeo ndo kwaanza ndugu, majirani, marafiki washajione.

Kifuatacho kila ukipita wanabonyezana mupneni yule mwenyew mdude legelege mkewe anavumili tu basi.
 
Back
Top Bottom