Nimemvunja moyo sana mke wangu, kama una chochote cha kuniambia au kunishauri wewe nishauri tu

Kawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka ajifungue amekuwa wa hospital tu anatoka leo anarudi kesho.

Mimi naishi mbali nae kwa sababu ya kazi ninazofanya, kwahiyo anasema watoto wanamsumbua sana, shida imeanzia pale nilipomtongoza rafiki yake mara ya kwanza alikuja kugundua baada ya huyo rafk ake kuweka mambo hadharani, niliaibika tukasameheana yakaisha, juzi nikatest tena kwa huyo huyo rafk ake dah!

Kisicho riziki hakiliki, sijui kama atanisamehe, tulipanga tuonane leo na huyo rafiki yake bahati mbaya tena mipango yetu imejulikana maana rafiki yake alienda akasahau simu kwa mke wangu na msg tulizochati zimeonekana, mke wangu amenilaumu sana kwanini namfanyia hivi tena kwa rafiki yake kabisa, ila kiukweli sijawahi kutembea nae huyo rafiki yake wala kufanya nae chochote, sasa nimeshkwa na ngozi, nijitetee vipi nipeni mbinu basi?

Haaahaaaaa, kwanza nikupongoze kwa hizi harakati zako ngumu na za kipekee kwenye uso wa dunia, muite mkeo, mwambie achaguekubaki na wewe au kusepa, ila hakikisha unamla huyo arafiki yake ili kubalance udhalilishaji uliokupata, jiandae mkuu mkeo aki settle wakulungwa watamfira, kweli nakuambia
 
Kawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka ajifungue amekuwa wa hospital tu anatoka leo anarudi kesho.

Mimi naishi mbali nae kwa sababu ya kazi ninazofanya, kwahiyo anasema watoto wanamsumbua sana, shida imeanzia pale nilipomtongoza rafiki yake mara ya kwanza alikuja kugundua baada ya huyo rafk ake kuweka mambo hadharani, niliaibika tukasameheana yakaisha, juzi nikatest tena kwa huyo huyo rafk ake dah!

Kisicho riziki hakiliki, sijui kama atanisamehe, tulipanga tuonane leo na huyo rafiki yake bahati mbaya tena mipango yetu imejulikana maana rafiki yake alienda akasahau simu kwa mke wangu na msg tulizochati zimeonekana, mke wangu amenilaumu sana kwanini namfanyia hivi tena kwa rafiki yake kabisa, ila kiukweli sijawahi kutembea nae huyo rafiki yake wala kufanya nae chochote, sasa nimeshkwa na ngozi, nijitetee vipi nipeni mbinu basi?
Kwani mzee baba umemuoa dem kama waziri wa elimu au? Why being that stubborn
 
Tusubiri tangazo la eid, yani leo ntapga shopping usiku, kesho napiga kijora chepesi tayari kukaa jikoni kukaangiza. Hatari sana
omba usikutwe na bwana pepsi tuuu Maana mfungo ushaisha kila kitu ruksaaaaa "no excuse"
 
Sasa kwanini uliamua kumtongoza rafiki yake? Huku ni kumkosea heshima mkeo, mwanzo amekusamehe umerudia tena kwa rafiki yake yule yule kana kwamba huko mitaani hamna wanawake wengine☹
 
Back
Top Bottom