Nimemvunja moyo sana mke wangu, kama una chochote cha kuniambia au kunishauri wewe nishauri tu

Muombe msamaha mkeo na ujutie kosa...muahidi kuwa mwaminifu na urudishe Imani kwake....epuka kutongoza rafiki wa mkeo.
 
marafiki wa mkeo ni wa kukaa nao mbali sana mkuu na hao siyo wa kuchekea kabisa umefanya makosa makubwa sana
mke kujihakikishia wewe ni msinzi siyo poa
 
Tamaa mzee shida ni tamaa, hivi kwanini huwa mnapenda kusema wanaume sisi hatuwezi kuishi na mwanamke mmoja hiyo mentality aliekuambia nani, ulisikia wapi, jisemee nafsi yako mkuu, sema wewe huwezi kukaa na mwanamke mmoja, ni kujiendekeza tu
Good, hizo ni tabia zake yeye wapo wenye hofu ya Mungu, hajui tu anavyoacha laana kwa vizazi vyake vyoteee. Ndo maana wanawake sometimes hatupendi kuvumilia shida na mwanaume manake akipata tu ni shidaa
 
Nashindwa kuwaelewa, hivi unaanzaje kukamatwa? Mie hapa nilipo nakula mdogo wa wife, na mchepuko wangu wa siku nyingi kabla hatujafunga ndoa! Ni family friend kabisa mpaka wanasaidiana kwa shida na raha, wife hajawahi hata kuhisi tu! Njoo inbox nikupe mbinu, hutakamatwa tena!
We ona sofa tu, nakuhakikishia malipo ni dunian mbinguni ni hesabu tuu
 
UBAYA WA MOYO, KADIRI UNAVYOMTENDEA MAOVU NDIVYO NA UPENDO JUU YAKO HUPUNGUA...

SIKU USIJE LIA HAPA MKEO KUKULETEA MWANAMKE NDANI KWAKO KITANDANI KWAKO...

HAWA VIUMBE SHEITWAAN HUWA ANAWAPA USHIRIKIANO WA KUTOSHA KWENYE ULIPAJI WA KISASI...

NA HUWA INAUMAGA KULIKO HATA YA KWAKO NA HUJAFANYA CHOCHOTE...

MPUMBAVU USALITI UNAUFANYA PEKEE YAKO KWA TAMAA ZAKO...WALA USIJIFICHE KICHAKA CHA UANAUME...WAKO WANAUME WACHACHE SANA WANAOENDEKEZA TAMAA ZAO, NDIO KAMA WEWE...

WALIOBAKI WENGI NI SISII TUNAOHESHIMU WAKE NA NDOA ZETU, TAMAA HAZITUPELEKESHI, TUNAZIPELEKESHA SISI WENYEWE...

USIMLAUMU MTU KWENYE NDOA YAKO KUHARIBIKA...USHAIHARIBU TAYARI...UOMBE MSAMAHA HALIFUTIKI HILO...
 
Kasema mke wake anaumwa kila siku Hospitali bado ujaijua changamoto aliyonayo ndugu yetu, game hazichezeki. Kweli ndoa uvumilivu du.
Ndio umfuate rafiki yake mpumbavu kama huyo anaachaje simu nnyumban kwako...anapataje nguvu kutembelea kwa shoga yake...

Muwege mnaangalia kwa kuchepuki bacia
 
Ha ha ha ha hah yaani kuna wanaume wapoleee wastaarabuu mpaka huruma,

Afu kicheche mmoja anawachafua wote.
Huyo kicheche ni mpuzi sana atajichafua mwenyewe na nafsi yake, hawezi kutumia mgongo wa wanaume sijui sisi ni wadhaifu sijui nini, kama kweli yeye ni kidume kweli madhaifu yake hayawi sijui shetani kanipitia, sijui sisi huwa hatuwezi ishi bila mchepuko ni ujinga, aseme nilitamani nikatongoza, sio kutafuta visingizio na kukosa kujiamini
 
leo ndiyo nmeamini wanaume tupo wengi, big up bro Rodriquz n keep it up 💪🏾
next time mtongoze huyo manzi mbele ya mkeo. haina haja ya kutongoza kwa siri wakati ni mkeo na huyo ni rafiki yake... mhusishe tu moja kwa moja then leta mrejesho.
 
Wengi sanaaaaa wapo tu mitaani wamejaa kibao wanaume bila mchepuko, nashangaa kauli za kusema sisi wanaume sijui nini, sisi wanaume tuko hivi hao sio wanaume ni aina ya mashetani tu, mwanaume unaanzaje kumsaliti mkeo tena na rafiki yake madharau ya kipuuzi hata shetani anashangaa.
Mbona mimi sipati mwanaume wa ivo
 
Back
Top Bottom